sam mirror 1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 969
- 2,318
Status tena hahaha 🤣 🤣 🤣 another victim of depressedKwema wakuu,hivi kwenye status ikisoma selected for oral na hapo umeshapiga oral nin maana yake?na pdf imeshatoka kama miez miwili hv,hapo inakuwaje wakuu
Sasa bajeti inahusiana vipi na ajira mzeeKuna suala la kibajeti naona hapo kuwa na subra bajeti 2024/2025 ndio hiyo inaanza kesho
Habari, fanya miamala kwenda mitandao ya simu/benki nyingine kabla ya tar 1/7/2024 kwani huduma itasitishwa kwa tarehe hiyo kufunga mwaka wa fedha wa serikali.Sasa bajeti inahusiana vipi na ajira mzee
Hatariiiiiii sanaTuangalie Euro ndugu zangu...tupate furaha kidogo
Sawa basi na sisi tunaukaribisha mwaka mpya wa serikali..Happy New month,may this month be filled with more blessings ❤️Habari, fanya miamala kwenda mitandao ya simu/benki nyingine kabla ya tar 1/7/2024 kwani huduma itasitishwa kwa tarehe hiyo kufunga mwaka wa fedha wa serikali.
Habari, kupisha kufungwa kwa mwaka wa serikali tar 1/7/2024 huduma za TISS na cheki hazitapatikana siku hiyo, unashauriwa kutumia huduma zetu mbadala siku hiyo.
Maneno yakuumiza aya ujue😂HATIMAYE WEEKED IMEISHA.
Jobless tuna hali mbaya kama hawatabadililsha utaratibu tutarajie pdf wiki mbili mbele.
Kama itakuwa heri basi week itakuwa sana maana majamaa wamezoeleka miezi hii miwili.
NO PDF WEEKEND.
NO PDF FROM 1st up to 14th hii formula wameenda nayo miezi miwili sasa.
haya ngoja mie nishibe nipate nguvu ya kuingilia webSupu bila zagazaga kazi bure
Hamna mm mwenyewe naumia database yangu inaexpire Augusts.Maneno yakuumiza aya ujue[emoji23]
Leo wako busy na mwaka wa mpya wa serikali na sabasabahaya ngoja mie nishibe nipate nguvu ya kuingilia web
Mkuu mambo vp...NEC bado tuNgoja Wamalize kikao chao cha Nec ....
Huenda
Mama(Rais)atarudisha matumain ya jobless...
Tuzidishe maombi
Mkuu mambo vp...NEC bado tu