Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

HATIMAYE WEEKED IMEISHA.

Jobless tuna hali mbaya kama hawatabadililsha utaratibu tutarajie pdf wiki mbili mbele.

Kama itakuwa heri basi week itakuwa sana maana majamaa wamezoeleka miezi hii miwili.

NO PDF WEEKEND.

NO PDF FROM 1st up to 14th hii formula wameenda nayo miezi miwili sasa.
 
Sasa bajeti inahusiana vipi na ajira mzee
Habari, fanya miamala kwenda mitandao ya simu/benki nyingine kabla ya tar 1/7/2024 kwani huduma itasitishwa kwa tarehe hiyo kufunga mwaka wa fedha wa serikali.

Habari, kupisha kufungwa kwa mwaka wa serikali tar 1/7/2024 huduma za TISS na cheki hazitapatikana siku hiyo, unashauriwa kutumia huduma zetu mbadala siku hiyo.
 
Sawa basi na sisi tunaukaribisha mwaka mpya wa serikali..Happy New month,may this month be filled with more blessings ❤️
 
HATIMAYE WEEKED IMEISHA.

Jobless tuna hali mbaya kama hawatabadililsha utaratibu tutarajie pdf wiki mbili mbele.

Kama itakuwa heri basi week itakuwa sana maana majamaa wamezoeleka miezi hii miwili.

NO PDF WEEKEND.

NO PDF FROM 1st up to 14th hii formula wameenda nayo miezi miwili sasa.
Maneno yakuumiza aya ujue😂
 
Back
Top Bottom