Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huko Uchawa mwingi bila hivyo hutoboi(Madiwani si Watu wanzuri wanaweza kukupoteza huku wanakusifia kwa Utendaji kazi vinzuri)....
Hii Tamisemi wangeimega tu...
 
ulifanikiwa kuapply kwa kubadilisha
Yes pale kwenye kuweka title ya course nimeweka diploma in fine arts ila kwenye kuweka cheti nimeweka cheti changu chenyewe cha diploma in Film production ikanikubalia, japokuwa hata hy film production ilikuwepo kwenye post.
 
basi we sikilizia tu
 
hcho kitu kibaya sana...unakuta intern ana 5 yrs , anakuona kama umemzibia rizik
 
Hahahaha brother hii ni kweli kabisa! Mimi Wazazi wangu Wote walikua watendaji wa halmashauri kabla ya kustaafu! Visa haviishi mara leo takukuru kesho mahakaman mara tume, halmashauri mnafatiliana sana yani vijicho haviishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…