Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Utumishi wa Sasa tumewakalili muda wao wa off mwisho saa 12 jioni.

Mwisho ijumaa.

Wa miaka ya zamani walikuwa hawatabiriki pdf mara jumapili mara saa 6 usiku mara sikukuu matumaini kama yote ukija jf shuhuda kedekede leo hii wamekuwa kama manurse wa zamu.

Hawana hata mvuto
 
Kuna shida utumishi....nafasi za taasis zimejaa bila wao kujua,
Wanabaki na za halmashauri tu
 
Nawapata hao...'wametuletea dogo hata hajui kazi' kauli zao hizo
Dah mie mwamba mmoja inasemekana alitumbuliwa vyeti feki jamaa tukiwa wawili tunapiga kazi fresh kwani hakuna kigeni kwenye kazi ila sasa akiwaona maboss kila unachofanya anakukosoa mbele yao juzi kati nimetolea uvivu wiki nzima hii kavuta midomo hawa watu ni shida
 
Leo imepita tukutane kesho IT wa Sasa ni mshamba sana.

Kama kuku bloila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…