Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Moyo unaumia kila nikifungia Uzi nakutana na majina ya mengi kwa kada yangu.

Najiuliza je mimi sistahili kuwepo hapo.

Mapambano yangu ni ya muda mrefu mpaka umefika sehemu watu wengine imekuwa kejeri kwao kwa kuniita mzee wa interview.

Dear Lord nakutegemea nakuamini.
 
Nazidi kuamini PSRS hakuna upendeleo kikubwa ufike oral interview lolote muda wowote linaeza kutokea, kikubwa ufike oral naamini zamu yetu pia inakaribia tutapata Kwa wakati sahihi ukifika hongereni sana wote mliolamba asali, mkawe watumishi wema, waadilifu na wachapa kazi, Tuzidi sana kumuomba Mwenyezi Mungu, tuzidishe jitihada kwenye kuongeza received ata kama nafasi ni moja na jitihada zaidi kuhudhuria izo interview.
 
Halmashauri gani?
 
Kuna mda mpaka unakosa usingizi kila ukifungu pdf ni bilabila
 


Maelezo meeengi ila jibu lipo kwenye haya hii 😁😁😁
πŸ‘‡πŸ‘‡ all in all Mungu ni Mwema siku zote "Amen
 
Wadau habari zenu nina wadogo zangu wawili wamefaulu form six. Mmoja kasoma PCB Ana two ya 11, na mwingine HGL Ana two ya 10 wanaomba ushauri wasome coz gani na chuo gani kwenye izo coz mnazopendekeza
 
Wadau habari zenu nina wadogo zangu wawili wamefaulu form six. Mmoja kasoma PCB Ana two ya 11, na mwingine HGL Ana two ya 10 wanaomba ushauri wasome coz gani na chuo gani kwenye izo coz mnazopendekeza
Sorry, hiv mpk mtu anachukua PCB au HGL hajui anataka kuwa nani?
Anyway, waulize wanapenda nn ndio wasomee hicho maana kumlazimisha mtu kitu cha kusoma atakuja kukulaum bure...soko la ajira ni gum
 
Wadau habari zenu nina wadogo zangu wawili wamefaulu form six. Mmoja kasoma PCB Ana two ya 11, na mwingine HGL Ana two ya 10 wanaomba ushauri wasome coz gani na chuo gani kwenye izo coz mnazopendekeza
Course sijajua ila waambie waaply chuo ambacho kidogo ni rahisi kupata GPA kubwa itawasaidia mbele ya safari.. sio lazima lakin honestly GPA kubwa ni hazina!
 
Psrs inatoa ukweli na uwazi kwa asilimia nyingi sana japo kuwa hakuna kitu kilichopo perfect 100%, shida au changamoto kubwa ni kuto kuwa na maelewani mazuri na wa ajira na kuto weka wazi waliyo faulu oral wanasubiri placement, sitaki kuamini Kama wanatoa placement kwa connection no wala hakuna mtu Anaya sema nilimsaidia flani kapata kazi kwa maana interview kafanya mnafanya wenyewe ila hii dunia kuna style nyingi za maisha, psrs wako Wizi sana na wako vyema katika kutoa ajira bila upendeleo kulinganisha na tasisi zingine zinazo endesha usahili na halimashauri ndo kuna madadu na umwinyi sana , hapo ni Kumuachia Mungu ukisha fanya usahiliπŸ˜πŸ˜‚, Ila jobless acheni kutembelea nyota ya mwezako ukasolve changamoto zako😳😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…