Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Moyo unaumia kila nikifungia Uzi nakutana na majina ya mengi kwa kada yangu.

Najiuliza je mimi sistahili kuwepo hapo.

Mapambano yangu ni ya muda mrefu mpaka umefika sehemu watu wengine imekuwa kejeri kwao kwa kuniita mzee wa interview.

Dear Lord nakutegemea nakuamini.
 
Nazidi kuamini PSRS hakuna upendeleo kikubwa ufike oral interview lolote muda wowote linaeza kutokea, kikubwa ufike oral naamini zamu yetu pia inakaribia tutapata Kwa wakati sahihi ukifika hongereni sana wote mliolamba asali, mkawe watumishi wema, waadilifu na wachapa kazi, Tuzidi sana kumuomba Mwenyezi Mungu, tuzidishe jitihada kwenye kuongeza received ata kama nafasi ni moja na jitihada zaidi kuhudhuria izo interview.
 
Habari za Asubuhi
Namshukuru Mungu sana kwa siku ya Jana na mm nimeweza kulamba asali hii ikiwa ni oral yangu ya kwanza kuingia apo mwezi wa tano (nilikandwa written kama nne hivi ).. Namshukuru Kwa kweli Mungu Sina Cha kumrudishia hakika wakati wake yeye ndo sahihi kwa maisha yetu ..Nizidi kuwasihi ndugu zangu tuendelee kuvuta subira wakati wa Mungu siku zote ndo wakati sahihi..
Lord God bless you all ..tupo pamoja . Asanteni sana
Halmashauri gani?
 
Moyo unaumia kila nikifungia Uzi nakutana na majina ya mengi kwa kada yangu.

Najiuliza je mimi sistahili kuwepo hapo.

Mapambano yangu ni ya muda mrefu mpaka umefika sehemu watu wengine imekuwa kejeri kwao kwa kuniita mzee wa interview.

Dear Lord nakutegemea nakuamini.
Kuna mda mpaka unakosa usingizi kila ukifungu pdf ni bilabila
 
Habarini Ndugu zangu wapambanaji.
Naomba kwa yeyote aliepata kazi au alieshikwa mkono akalamba asali, Sifa na Utukufu ampe Bwana, maana hata kama umeshikwa mkono ni Bwana katengeneza njia kwa huyo mtu alifanikishe.

pia tafadhalini msinitumie msg Pm, sijahusika kwenye Asali ya Pinaco, ila tu niliguswa sana na namna alivyokua aki appear humu kila siku na karibia kila page lazima awepo, mkumbuke humu ndani kuna watu mbali mbali wanapitia, wapo wanaochangia moja kwa moja, na wapo wasiochangia ila wanazipitia conversations zenu kwa uzuri.
Ni sawa na ule uzi wa bwana mdogo Rick Boy kuna siku nilistaajabu kusikia mtu akiuzungumzia nikiwa sehemu ambayo si rahisi kuamini kama yipo mtu wa jamii Forum.

I am just a normal guy, ilaa... kuna uwezekano kulingana na watu wa hapa na pale naowajua naweza washirikisha sikitiko la mtu flani sio mfano mtu mmoja au wawili na kama Mungu akijaalia mambo yanatiki.
Hivyo kwasasa nisitumiwe msg imetokea bahati tu kwamba nilimtaja Peanacco na kumbe Mungu alikua amekwisha achilia Baraka juu yake.

Nitoe wito kwa watu wenye nafasi na network wanaopitia uzi huu najaua wapo wengi na huwa hawasemi neno, basi ukiona kuna kijana umevutiwa au kuguswa na masikitiko yake emu mtext umsaidie, ANGALIZO, MSAIDIAJI AU MSAIDIWA USIOMBWE PESA AU KUTUMA PESA ILI USHIKWE MKONO HASA KWA MTU USIEMFAHAMU, NA KAMA ITAKUJA SWALA LA SODA UWE UMEJIHAKIKISHIA KWA UKARIBU NA UHALISIA WA ASILIMIA 70-80% KWAMBA KUNA HARUFU YA ASALI YA KWELI.

Nitoe hongera kwa wote wanaotoa shuhuda za kula asali, pia wazid kuelezea hatua za kupigiwa simu ilikuaje..kufata barua ilikuaje na kureport ilikuaje, ili kuwapa moyo na kuwaburudisha walio katika lindi la kucboka.
Sifa na Utukufu kwa Bwana Yesu atupae kufikia malengo yetu na kufungua njia zetu.

Maelezo meeengi ila jibu lipo kwenye haya hii 😁😁😁
👇👇 all in all Mungu ni Mwema siku zote "Amen
I am just a normal guy, ilaa... kuna uwezekano kulingana na watu wa hapa na pale naowajua naweza washirikisha sikitiko la mtu flani sio mfano mtu mmoja au wawili na kama Mungu akijaalia mambo yanatiki.
Hivyo kwasasa nisitumiwe msg imetokea bahati tu kwamba nilimtaja Peanacco na kumbe Mungu alikua amekwisha achilia Baraka juu yake.
 
Wadau habari zenu nina wadogo zangu wawili wamefaulu form six. Mmoja kasoma PCB Ana two ya 11, na mwingine HGL Ana two ya 10 wanaomba ushauri wasome coz gani na chuo gani kwenye izo coz mnazopendekeza
 
Sorry, hiv mpk mtu anachukua PCB au HGL hajui anataka kuwa nani?
Anyway, waulize wanapenda nn ndio wasomee hicho maana kumlazimisha mtu kitu cha kusoma atakuja kukulaum bure...soko la ajira ni gum
 
Wadau habari zenu nina wadogo zangu wawili wamefaulu form six. Mmoja kasoma PCB Ana two ya 11, na mwingine HGL Ana two ya 10 wanaomba ushauri wasome coz gani na chuo gani kwenye izo coz mnazopendekeza
Course sijajua ila waambie waaply chuo ambacho kidogo ni rahisi kupata GPA kubwa itawasaidia mbele ya safari.. sio lazima lakin honestly GPA kubwa ni hazina!
 
Psrs inatoa ukweli na uwazi kwa asilimia nyingi sana japo kuwa hakuna kitu kilichopo perfect 100%, shida au changamoto kubwa ni kuto kuwa na maelewani mazuri na wa ajira na kuto weka wazi waliyo faulu oral wanasubiri placement, sitaki kuamini Kama wanatoa placement kwa connection no wala hakuna mtu Anaya sema nilimsaidia flani kapata kazi kwa maana interview kafanya mnafanya wenyewe ila hii dunia kuna style nyingi za maisha, psrs wako Wizi sana na wako vyema katika kutoa ajira bila upendeleo kulinganisha na tasisi zingine zinazo endesha usahili na halimashauri ndo kuna madadu na umwinyi sana , hapo ni Kumuachia Mungu ukisha fanya usahili😁😂, Ila jobless acheni kutembelea nyota ya mwezako ukasolve changamoto zako😳😁
 
Back
Top Bottom