Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kazi kulia lia tu mshukuru Mungu kwa kila jambo tulieni kila mtu atapata kazi
Hujui ulifanyalo na hujui faida ya msg zangu kusoma hujui hata picha huoni fuatilia msg zangu zote uone huwa zinaandikwa siku ambako pdf zinawekwa psrs muda mchache before kuwepo pdf either za placement or tanganzo la kazi
 
ndo inavyo takiwa pdf la leo limechukuwa watu wa nyuma vizuri
 
Hujui ulifanyalo na hujui faida ya msg zangu kusoma hujui hata picha huoni fuatilia msg zangu zote uone huwa zinaandikwa siku ambako pdf zinawekwa psrs muda mchache before kuwepo pdf either za placement or tanganzo la kazi
Shukrani mkuu na account yangu nimeipata mkuu mpaka wamepokea simu na leo weekends shukran wana jamvi kunitia moyo
 
Pdf za sasa zitoe watu wa nyuma kwanza wasaka ajira wanakeleka kuona wa nyuma hawaitwi na wa kalibuni ndo wanang’ara kwa pdf za placement
Watu wa inteview za 2023 naona leo wengi wamechukuliwa hongereni mliyo ufikia ufalume wa utumi wa uma ipende TZ yako tabua tayali wananchi wanakutazama sasa kama kiongozi fulani katika jamii ya tz katika majukumu yako ya kazi kwa kuleta faida kwa taifa ( leadership skill itumike vyema)!
 
Hatimaye jina langu limeonekana leo, Glory to God! Kweli kila mtu wakati wake unakuja, tusikate tamaa wakuu (yusto_em)
Mungu awe nawe akuongoze katika utendaji kazi wako kwa faida za wanchi, uaminifu, uadilifu, upendo, uchapa kazi, na uhodali, hivyo ndo adhina kubwa katika safari yako zidi ya nchi yako pendwa(key point uzalendo na Taifa lako), ukiwa mzalendo utapendwa na wanchi katika sector yako na Mungu pia.
 
Watu humu wanasema TRC njaa kali,mimi mbona naona pazuri au kwa vile nilikuwa kwenye njaa kali zaidi mtaani kwa miaka mingi? kiasi kinachoingia kwa account baada ya makato si chini ya 700k sasa njaa ipo wapi?
Hongera, shida watu wanafeli kwa financial management tu, katika business pia wanafeli katika suala la risk reward ratio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…