SaulGoodman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 418
- 906
Ngoja majukumu yaongezeke, umepanga chumba kimoja na huna familia 700k+ utaiona nyingiWatu humu wanasema TRC njaa kali,mimi mbona naona pazuri au kwa vile nilikuwa kwenye njaa kali zaidi mtaani kwa miaka mingi? kiasi kinachoingia kwa account baada ya makato si chini ya 700k sasa njaa ipo wapi?
Hongera kakaHatimaye jina langu limeonekana leo, Glory to God! Kweli kila mtu wakati wake unakuja, tusikate tamaa wakuu (yusto_em)
Hongera sana Kiongozi....Utumishi mwemaHatimaye jina langu limeonekana leo, Glory to God! Kweli kila mtu wakati wake unakuja, tusikate tamaa wakuu (yusto_em)
Duh!!!mwajiri anahusika vip na kulipa..Ndugu inategemea na mwajiri amejipangaje wengine budget Iko very limited unataka akuite alafu akulipe nini?
Asante mkuu nishafanikiwaNenda ofisi za sekretarieti ya ajira
AmenHongereni mliopata placements kwa wale ambao bado nawapa moyo jua tuu siku yako ya kupata ipo na inakuja.
Mkuu inakera mimi walisema et ni mbaguzi nilitaka wakakae wap??Legal wame jaza watendaji tu amna namna wazi amishie pengine zina kwaza [emoji28][emoji28]
Mkuu karibu sana, ulitutenga Mda mrefu kidogoHongereni mliopata placements kwa wale ambao bado nawapa moyo jua tuu siku yako ya kupata ipo na inakuja.
Asee Raha Yake mkuu aielezeki.Wakuu, nawashukuru sana kwa pongezi, siwezi ku-reply kwa kila mtu, pongezi ni nyingi, feeling hii ni special, nimerudia mara kadhaa kuangalia jina langu😄, its like a dream!
InapendezaHabari ya asubuhi ndugu zangu, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote mliomo humu, kama walivyokuwa wakisema wengine wakati wa Mungu ni wakati sahihi, hatimaye na mm nimeona jina langu kwenye pdf, Mungu katenda miujiza, ningekuwa mchoyo wa fadhila kama nisingerudi humu kutoa shuhuda.
Ahsante sana na naamini watu wote humu mtapata, Ameen.
Mmh diploma holder kiasi hicho basi si haba mkuuWatu humu wanasema TRC njaa kali,mimi mbona naona pazuri au kwa vile nilikuwa kwenye njaa kali zaidi mtaani kwa miaka mingi? kiasi kinachoingia kwa account baada ya makato si chini ya 700k sasa njaa ipo wapi?
Hongera Sana mkuu na kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu mkuuHabari ya asubuhi ndugu zangu, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote mliomo humu, kama walivyokuwa wakisema wengine wakati wa Mungu ni wakati sahihi, hatimaye na mm nimeona jina langu kwenye pdf, Mungu katenda miujiza, ningekuwa mchoyo wa fadhila kama nisingerudi humu kutoa shuhuda.
Ahsante sana na naamini watu wote humu mtapata, Ameen.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaHabari ya asubuhi ndugu zangu, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote mliomo humu, kama walivyokuwa wakisema wengine wakati wa Mungu ni wakati sahihi, hatimaye na mm nimeona jina langu kwenye pdf, Mungu katenda miujiza, ningekuwa mchoyo wa fadhila kama nisingerudi humu kutoa shuhuda.
Ahsante sana na naamini watu wote humu mtapata, Ameen.
Hongera !Habari ya asubuhi ndugu zangu, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote mliomo humu, kama walivyokuwa wakisema wengine wakati wa Mungu ni wakati sahihi, hatimaye na mm nimeona jina langu kwenye pdf, Mungu katenda miujiza, ningekuwa mchoyo wa fadhila kama nisingerudi humu kutoa shuhuda.
Ahsante sana na naamini watu wote humu mtapata, Ameen.
Hongera sanaHabari ya asubuhi ndugu zangu, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote mliomo humu, kama walivyokuwa wakisema wengine wakati wa Mungu ni wakati sahihi, hatimaye na mm nimeona jina langu kwenye pdf, Mungu katenda miujiza, ningekuwa mchoyo wa fadhila kama nisingerudi humu kutoa shuhuda.
Ahsante sana na naamini watu wote humu mtapata, Ameen.