SaulGoodman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 418
- 906
Ngoja majukumu yaongezeke, umepanga chumba kimoja na huna familia 700k+ utaiona nyingiWatu humu wanasema TRC njaa kali,mimi mbona naona pazuri au kwa vile nilikuwa kwenye njaa kali zaidi mtaani kwa miaka mingi? kiasi kinachoingia kwa account baada ya makato si chini ya 700k sasa njaa ipo wapi?