Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna Kaa Raha Fulani Ivi akaelezeki uko kwenye gari unaenda dodoma masjala ya wazi kuchukua barua alafu ndani ya gari umekaa siti ya mbele mbele au katikati hakuna mtikisiko alafu uwekwe wimbo unaoupenda asee unaeza imba Kwa sauti kubwa mwanzo mwisho, yaan hapo ata uwe wimbo wa kihindi au kichina😃😃 na ukatoa matamshi sawa na uo wimbo na unaeza imba hadi beat lake😃😃 dah, Asee hongereni sana mliolamba asali, leteni shuhuda wakuu
 
Hongera brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…