Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutaki kwenda si ndio?Guys kwaiyo uko kwenye ofisi ya waziri mkuu hakuna maajabu
Usikate tamaa, believe in yourselfKwahy mmefikia stage ya kusema 700k n ndogo 😠mkipata kazi wanayolipa ht 400k naombeni mnichek
Hongera brotherHabari ya asubuhi ndugu zangu, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote mliomo humu, kama walivyokuwa wakisema wengine wakati wa Mungu ni wakati sahihi, hatimaye na mm nimeona jina langu kwenye pdf, Mungu katenda miujiza, ningekuwa mchoyo wa fadhila kama nisingerudi humu kutoa shuhuda.
Ahsante sana na naamini watu wote humu mtapata, Ameen.
Mikando ni lazima😃😃😃 utumishi Wana uzoefu watu wanaitwa 7000+ na mikando Ipo pale pale🤣🤣🤣Watu wanaogopa interview sijapata kuona...afya mpk leo wanajadili interview ipo au haipo badala ya kuanza kupeana hints za interview
Hakuna anayeogopa .Watu wanaogopa interview sijapata kuona...afya mpk leo wanajadili interview ipo au haipo badala ya kuanza kupeana hints za interview
🤣🤣🤣 Jobless mkongwe mwenzangu unasalimia kishujaa.😆😆 Tuendelee tulipoishia Leo pdf vipikwema majobless wenzangu
Hehee sasa kwan mkuu chuo mmefauluje?..Hakuna anayeogopa .
Ila Interview hamna ila msiumie mwezi wa sita watu wanatakiwa wawe kazini
Mkuu Pinacoladee wiki ya kwanza tu kashabanwa na majukum hataki hata kuja kukusalimia mkuukwema majobless wenzangu
pdf ni kuanzia kesho dah haya maisha mpaka kuna muda mtu unatamani ungeumbwa ndege🤣 🤣🤣🤣🤣 Jobless mkongwe mwenzangu unasalimia kishujaa.😆😆 Tuendelee tulipoishia Leo pdf vipi
🤣🤣🤣 Tutafika Tu mkuupdf ni kuanzia kesho dah haya maisha mpaka kuna muda mtu unatamani ungeumbwa ndege🤣 🤣
pinacoladee sasa hivi yupo induction uko ameshasahau kama alikua jobless wiki iliyopita 🤣 🤣Mkuu Pinacoladee wiki ya kwanza tu kashabanwa na majukum hataki hata kuja kukusalimia mkuu
tutafika hoi sana 🤣 🤣🤣🤣🤣 Tutafika Tu mkuu
Huu ukorofi na uchonganishoo wazi wazi🤣🤣🤣🤣Mkuu Pinacoladee wiki ya kwanza tu kashabanwa na majukum hataki hata kuja kukusalimia mkuu
Bado mkuu🤣pinacoladee sasa hivi yupo induction uko ameshasahau kama alikua jobless wiki iliyopita 🤣 🤣
🤣 🤣 🤣 kumbe upo humu.vipi ushachukua barua lakiniHuu ukorofi na uchonganishoo wazi wazi🤣🤣🤣🤣