Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huyu Mzee alikuwaga ananikosha sn😀
 

Attachments

  • 1721562816151.jpg
    1721562816151.jpg
    278 KB · Views: 5
Kuna Kaa Raha Fulani Ivi akaelezeki uko kwenye gari unaenda dodoma masjala ya wazi kuchukua barua alafu ndani ya gari umekaa siti ya mbele mbele au katikati hakuna mtikisiko alafu uwekwe wimbo unaoupenda asee unaeza imba Kwa sauti kubwa mwanzo mwisho, yaan hapo ata uwe wimbo wa kihindi au kichina😃😃 na ukatoa matamshi sawa na uo wimbo na unaeza imba hadi beat lake😃😃 dah, Asee hongereni sana mliolamba asali, leteni shuhuda wakuu
 
Habari ya asubuhi ndugu zangu, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote mliomo humu, kama walivyokuwa wakisema wengine wakati wa Mungu ni wakati sahihi, hatimaye na mm nimeona jina langu kwenye pdf, Mungu katenda miujiza, ningekuwa mchoyo wa fadhila kama nisingerudi humu kutoa shuhuda.

Ahsante sana na naamini watu wote humu mtapata, Ameen.
Hongera brother
 
Back
Top Bottom