Mamamushika
Member
- Jul 17, 2024
- 21
- 99
Hapo kuna mambo mawiliDaa sasa sijui ndugu yangu anakosea wapi maana ana certificate ya business admn lakini akiomba utendaji wa mtaa system inagoma kuwa hajakidhi qualifications.
Au usimamizi wa fedha ni watu wa finance/banking?
Hapo siwezi kujua, hata hivyo wewe ndio unajua taaluma yako na unajua maeneo ambayo yanaweza kufanyika kwa vitendo.Hii ya descriptions si itazingatiwa zaidi tarehe 14? Sasa tarehe 13 kwenye usaili wa vitendo au kupima Afya hapo nini kitafanyika? Maana hawawezi kupima Afya hivi hivi[emoji848]
Wanacheck marinda kama yapo, jiandae🤣Jamani wana jamvi nina kaswali hapa, TANAPA na mimi wameniita kunikanda lakini sasa usaili wa mchujo hakuna(Alhamdulillah) usaili uliopo ni wa vitendo(zoezi la kupima Afya ) na Oral Swali langu lipo hapo kwenye zoezi la kupima Afya hamna Tumazoezi kweli hapo? Nianze kujifua?🤔View attachment 3049204
Usimamizi wa fedha yaanDaa sasa sijui ndugu yangu anakosea wapi maana ana certificate ya business admn lakini akiomba utendaji wa mtaa system inagoma kuwa hajakidhi qualifications.
Au usimamizi wa fedha ni watu wa finance/banking?
ShukranHapo kuna mambo mawili
Elimu ikiwa kubwa yaan ukute ana diploma au Degree na kuendelea alafu aombe iyo certificate haitakubali la pili program category aweke itakayofit kwenye course yake kwa mfano kama ana certificate only kweny program iwe HR and Administration then kweny program aweke sasa iyo certificate in business administration
achana nao we nenda zako tanapaPolisi nao wameita huko
Exactly kaka, maana walikua wameshaanza kuniwazisha hapa, sijui kwanini wameita kwa wakati mmojaachana nao we nenda zako tanapa
Sasa unataka upoti una mtu nenda tanapa acha kuwaza uoumbavu.Exactly kaka, maana walikua wameshaanza kuniwazisha hapa, sijui kwanini wameita kwa wakati mmoja
😂😂😂Sawa kakaaSasa unataka upoti una mtu nenda tanapa acha kuwaza uoumbavu.
Au unataka tukushauri uende polisi
Ww jamaa bhana, yn ht hujui unataka nnExactly kaka, maana walikua wameshaanza kuniwazisha hapa, sijui kwanini wameita kwa wakati mmoja
Nadhani ujobless haukutes wewe HONGERA👏Ww jamaa bhana, yn ht hujui unataka nn
Mungu atajibu kilio chako ndugu!nilifanya ya mda
Tupo tupo. Tushajiandaa vya kutosha kulamba asali.Mmeamkaje wasakatonge
Vip leo kuna pdf au. Tulale
mbona kuna pdfTupo tupo. Tushajiandaa vya kutosha kulamba asali.