Na kesho tunaendelea mkuuNaona Leo wawakilishi wetu wa hili Chama letu la majobless, wameenda kutuwakilisha huko PSRS..
Mkuu Mwifwa na wenzio wote nawatakia Kila la kheri, mkishinda nyie nasi tumeshinda.. Siku yangu Mimi ya kupata barua ya kazi tutakuwa na part la kufa mtu pale Samakisamaki kama furaha ya ushindi baada ya kuwakanda PSRS
Swali la kwanza.. walikuuliza jitroduce your self au education background only..?Nishatoka mkuu, sasa naenda kupanda gari nirudi zangu mjini
Ngoja aje akujibu atoe na mengineSwali la kwanza.. walikuuliza jitroduce your self au education background only..?
Hapo uhakika mzee ushatoboa niamini mimiNimegusa maswali yote kwa point tano tano kama walivyotaka. Tuombea angalau niingie kwenye kanzidata
Ahsante sana mkuu, tayari nishakandwa, pia tayari nipo kwenye gari narudi kupambana na joto la kitaa.Naona Leo wawakilishi wetu wa hili Chama letu la majobless, wameenda kutuwakilisha huko PSRS..
Mkuu Mwifwa na wenzio wote nawatakia Kila la kheri, mkishinda nyie nasi tumeshinda.. Siku yangu Mimi ya kupata barua ya kazi tutakuwa na part la kufa mtu pale Samakisamaki kama furaha ya ushindi baada ya kuwakanda PSRS
Safiii,jiandae kula keki ya taiga kaka.naamini umepata kaziNimegusa maswali yote kwa point tano tano kama walivyotaka. Tuombea angalau niingie kwenye kanzidata
Salary haizingumziwi huku Utumishi, hiyo utaikuta Private sector tuUsaili bado kaka,
Napenda kufahamu in case nitaulizwa, ni vizuri kuwa within the scale.
Kuwa na subira, wataita tu mkuu.Kila la kher mpendwa,mimi bado nasubiri afisa biashara tamisemi sjui wataita lin
Wamewaambia majibu baada ya muda Gani?Ahsante sana mkuu, tayari nishakandwa, pia tayari nipo kwenye gari narudi kupambana na joto la kitaa.
Naskia zingine hua wanaahirisha juu kwa juu ndo ntolee hyo. Hapo ndo was was wangu ulipoKuwa na subira, wataita tu mkuu.
We plan, God decide.Naamini soon utaanza lamba asali. Zidisha maombi mana part yako ushaifanya.
Tupe overview ya maswali wanayoyatoa mkuu.Kuwa na subira, wataita tu mkuu.
Sawa mkuu, kila la kheri na mtanange wa hapo keshoHongera sana sana na pole,me pia ndo naitafuta Dom soon nipo hapo kwaajili ya kesho.
Pole na hongera mlumbi.Nimeonja joto la Oral, rasmi nimeingia kwenye list ya wasubiri placements.
Ahsanteni kwa Dua zenu, sasa tushikamane tena kwenye kuombeana kwenye hatua zote alizopo kila mmoja wetu.
Daahh, bado hatuwezi kuhitimisha hili.Wewe ushapata kazi... Believe me Mkuu
Unasubiria post ipi?Tupe overview ya maswali wanayoyatoa mkuu.
Tell us about your life history, schools and college.Swali la kwanza.. walikuuliza jitroduce your self au education background only..?
😂😂😂😂😂Hahhhhh uhakika mzee nipo nabrush moka hapa yakuvalia suti