SaulGoodman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 418
- 906
Ili usijipe pressure, assume tu itakua ime expiredNaombeni kuuliza swali?
Nilifanya oral moja ya hospital kubwa nchini tulikuwa watu 150+ mwezi wa nane.
Wakaitwa watu mwezi wa 11 kazini idadi walizotangaza ni 50 ila waliita watu 20 tu kazini.
Baada ya hapo hawakuita tena database mpaka mwezi uliopita ndo wakaanza kuchukua watu kwa database yetu maana muda wote walikuwa wanaita wale waliotutangulia.
Swali langu .
Je mwezi wa nane ikifika database yetu itakuwa ina expire ilhali hawajafika idadi hata ya watu 100+?
Ahsante sana kwa ushauriIli usijipe pressure, assume tu itakua ime expired
Wewe fahamu cake itakufikia tuu,ongeza received songa mbele.Ahsante sana kwa ushauri
kwani nani alokwambia gpa ina matter kwenye utumishi?Habari ya asubuhi. Wakuu nina GPA ya 2.7 ya public Administration inaweza nisaidia kupata kazi kupitia UTUMISHI au nilime viazi tu huku njombe.
Usiwaze mwanangu, we pambana tu kwenye interview utatoboa tu..GPA inaangaliwa kwa academicians tuHabari ya asubuhi. Wakuu nina GPA ya 2.7 ya public Administration inaweza nisaidia kupata kazi kupitia UTUMISHI au nilime viazi tu huku njombe.
GPA haina shida mkuu kwa post nyingi lakini kuna baadhi ya post zinahitsji GPA kubwa kama zile za Tutorial assistant na Research assistant na zinginezo inategemea uhitaji wa eneo husika lakini zilizo nyingi haziangalii GPAHabari ya asubuhi. Wakuu nina GPA ya 2.7 ya public Administration inaweza nisaidia kupata kazi kupitia UTUMISHI au nilime viazi tu huku njombe.
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete kuhakikisha anafanya uratibu wa kuhakikisha Vijana wanapata ajira zinazozalishwa na Sekta mbalimbali hapa Nchini.Kwani waziri anahusika vipi na pdf ukiachana na katibu mkuu
Sawaa mkuu hawa nimekusoma mkuukwani nani alokwambia gpa ina matter kwenye utumishi?
Nimekusoma kaka asante dogo kagonga GPA ndogo kinouma sanaGPA haina shida mkuu kwa post nyingi lakini kuna baadhi ya post zinahitsji GPA kubwa kama zile za Tutorial assistant na Research assistant na zinginezo inategemea uhitaji wa eneo husika lakini zilizo nyingi haziangalii GPA
😀 sawa mkuu japo JF hapa watu hawataki kusema ni wao kila jambo akileta hapa anasingizia mdogo wangu,mwanangu,dada,kaka n.k kumbe ni yeye muhusika😀Nimekusoma kaka asante dogo kagonga GPA ndogo kinouma sana
😀 sawa mkuu japo JF hapa watu hawataki kusema ni wao kila jambo akileta hapa anasingizia mdogo wangu,mwanangu,dada,kaka n.k kumbe ni yeye muhusika😀Nimekusoma kaka asante dogo kagonga GPA ndogo kinouma sana
Sasa mkuu mm rejea post angu ya juu ya kuomba huo ushauri 😂😂🤣🤣 japo na mimi nina GPA ndogo kwa michepuo ya sciance na sio arts😀 sawa mkuu japo JF hapa watu hawataki kusema ni wao kila jambo akileta hapa anasingizia mdogo wangu,mwanangu,dada,kaka n.k kumbe ni yeye muhusika😀
Ndio iyo iyoWanajf nko na swal hivi job description ndo zile wameeka duties and responsibilities?
Na maderevaMwezi wa Saba Unaenda kuisha
Nipende kuwapongeza.
Civil engineering.
Madaktari.
Nurses.
Famasia.
Maendeleo ya jamii.
Madaktari wanyama.
Mifugo na kilimo.
Hizi ni kada zilizoongoza kulamba asali kwa mwezi huu.
Tusubiri wa nane sijui zamu ya nani itakuwa?
Maswali yanayotolewa ni kulingana na Kada uliyosomea hamna tofaut sana kama tulivyokua tunafanya written mwanzo except sasa hv maswali ni ya kuchaguaWakuu habari za jioni.? Samahani kwa wale mliopiga Aptitude test za utumishi mlikua mnapitia site gani zenye maswali ya aptitude test course mbalimbali. Asanteni