Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?


Kumbe ushalamba asali? Hongera sana.
 
Usiseme ukamaliza
 
Sijazungumzia mishahara
Nimezungumzia vigezo.
Licha ya hivyo mishahara inatofautiana pia
TA, MD si sawa na TA wa Accounting
Oooh sawa ia hiyo mifano yako ni tofauti ulichokisema mwanza maana ulikua unaongelea GPA 3.5 nilijaribu kukupa mifano kwamba inachukuliwa baadhi ya vyuo,mifano uliyotoa kozi zake ziko tofauti katka muda wa kusoma Ata TA wa archtecture hawezi kuwa sawa na TA wa law
Sio TA tu ata ukija ajira za kawaida mishahata inatofautiana hizo kozi ulizozisema MD(anasota 6 years mpaka apate cheti) na accounting(3 years)

Mishahara si chuo bali ni utofauti na uzito wa degree yako na TA wako hivyo
Ata mwalimu wa sayansi afanani salary na mwalimu wa arts

Anyway tuachane na hii mada namini imeeleweka na niliweka mpaka evidence na hoja niliyokuwa nakuambia japo vyuo vingi bado vinahitaji GPA 3.8 ila 3.5 is also applicable
 
Hukunielewa Mkuu mm nilizingumzia Universities na ujue siyo Kila chuo ni university hakuna chuo kikuu Cha Serikali chochote kinachochukua below 3.8 GPA.
 
Ase Unareport kazi kumbe anae kupokea kazi ni n I intern alafu anakuuliza umepataje hii nafasi ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช ila kujitolea k wenye ofisi za serekali kuna mda akili zina lala Huoni kazi unajiridhisha ๐Ÿค“๐Ÿค“mimi nilijitolea mahali Miaka mi tano (5) ukiniona utajua mtumishi ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿฅณ siku tumefukuzwa tulikuta tangazo notes bodi !! Walikua wanatupa moyo tunatafuta kibali tuwajiri tukafukuzwaaa bila maelekezo kujitolea sana jau
 
Mwingine anakuulizia " dogo unaweza kazi lakini" nikajua ndo mkuu wa idara kumbe ni senior intern๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hapo atasema umeonga au mtoto wa kigogo
na ukiwa unajitolea unajikutabunaanza kuwa na kiki ya kichawi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ maana wanakuja ajira mpya utahisi wanaziba ridhiki yako ๐Ÿ˜‚
 
Hukunielewa Mkuu mm nilizingumzia Universities na ujue siyo Kila chuo ni university hakuna chuo kikuu Cha Serikali chochote kinachochukua below 3.8 GPA.
Acha ubishi kijana mavyuo kbao kigezo ni GPA 3.5 Tofauti ya university na institute ni nini kama wote wanatoa mafunzo kuanzia degree hadi PhD na vinamilikiwa na serikali vyote? au umekariri mavyuo hayohayo unayoyapenda ya UDSM,UDOM,MUHAS, SUA. Kwavgezo vya TCU ile uwe tutorial assistant,assistant lecturer na lecturer ni GPA 3.5 undergraduate
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,Nways hivi ushaanza kazi rasmi?
 

TCU walisha harmonize siku nyingi Sana
Universities atleast 3.8
Institutes 3.5
Endelea kukaa na miongozo outdated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ