Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Mma bha gwituUkutamya😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mma bha gwituUkutamya😀😀
Basi tu kujikuta,mm ile asubuh naend kuchukua barua nkakutana na mdada katka kuchat tukaulizana kila mtu alipopangiwa basi tu akaanza mm sjui kwann wamenipangia kule,na mm akaniangalia kama vile sijadeserve kupangiwa iyo sehemu vle,nkamwambia kila mtu ana ridhiki yake na Mungu ndo mpangaji..Ebu tuwe na mioyo ya shukrani jamani.
Asante MuKumbes ushalamba asali? Hongera sana.
Usiseme ukamalizaMfumo mbovu tu wa serikali , hii mizee imeshaona kama ajira za serikali ni zao tu ,
Forgery na rushwa kwenye umri .
Jitu limezeeka halitaki kustaafu ,halafu kila siku wanafanya mockery Kwa vijana graduates wasio na biashara wala means zozote za kujiingizia kipato .
Kwanza kustaafu ilitakiwa iwe miaka 55 tu .
Kama mtu kashindwa kujipanga kiuchumi miaka yote hiyo ni bure tu , atoke wengine watake over .
Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake karibu katika utumishi.Asante Mu
Hili linaukweli wajuzi mtuambie?Sijazungumzia mishahara
Nimezungumzia vigezo.
Licha ya hivyo mishahara inatofautiana pia
TA, MD si sawa na TA wa Accounting
Almost hakuna. Maana hata hiyo posho ya kujikimu tu ni balaaKuna jamaa yangu kapangwa halmashauri moja hv ila imechangamka mno,
Swali lake anauliza hvi halmashauri nao wanaenda kupiga induction?
Leo ni shwaaaTukae mkao wa kusubir pdf
Oooh sawa ia hiyo mifano yako ni tofauti ulichokisema mwanza maana ulikua unaongelea GPA 3.5 nilijaribu kukupa mifano kwamba inachukuliwa baadhi ya vyuo,mifano uliyotoa kozi zake ziko tofauti katka muda wa kusoma Ata TA wa archtecture hawezi kuwa sawa na TA wa lawSijazungumzia mishahara
Nimezungumzia vigezo.
Licha ya hivyo mishahara inatofautiana pia
TA, MD si sawa na TA wa Accounting
Hukunielewa Mkuu mm nilizingumzia Universities na ujue siyo Kila chuo ni university hakuna chuo kikuu Cha Serikali chochote kinachochukua below 3.8 GPA.Oooh sawa ia hiyo mifano yako ni tofauti ulichokisema mwanza maana ulikua unaongelea GPA 3.5 nilijaribu kukupa mifano kwamba inachukuliwa baadhi ya vyuo,mifano uliyotoa kozi zake ziko tofauti katka muda wa kusoma Ata TA wa archtecture hawezi kuwa sawa na TA wa law
Sio TA tu ata ukija ajira za kawaida mishahata inatofautiana hizo kozi ulizozisema MD(anasota 6 years mpaka apate cheti) na accounting(3 years)
Mishahara si chuo bali ni utofauti na uzito wa degree yako na TA wako hivyo
Ata mwalimu wa sayansi afanani salary na mwalimu wa arts
Anyway tuachane na hii mada namini imeeleweka na niliweka mpaka evidence na hoja niliyokuwa nakuambia japo vyuo vingi bado vinahitaji GPA 3.8 ila 3.5 is also applicable
Mwingine anakuulizia " dogo unaweza kazi lakini" nikajua ndo mkuu wa idara kumbe ni senior intern😀😀Ase Unareport kazi kumbe anae kupokea kazi ni n I intern alafu anakuuliza umepataje hii nafasi 💪💪 ila kujitolea k wenye ofisi za serekali kuna mda akili zina lala Huoni kazi unajiridhisha 🤓🤓mimi nilijitolea mahali Miaka mi tano (5) ukiniona utajua mtumishi 😆😆🥳 siku tumefukuzwa tulikuta tangazo notes bodi !! Walikua wanatupa moyo tunatafuta kibali tuwajiri tukafukuzwaaa bila maelekezo kujitolea sana jau
Hapo atasema umeonga au mtoto wa kigogoAse Unareport kazi kumbe anae kupokea kazi ni n I intern alafu anakuuliza umepataje hii nafasi 💪💪 ila kujitolea k wenye ofisi za serekali kuna mda akili zina lala Huoni kazi unajiridhisha 🤓🤓mimi nilijitolea mahali Miaka mi tano (5) ukiniona utajua mtumishi 😆😆🥳 siku tumefukuzwa tulikuta tangazo notes bodi !! Walikua wanatupa moyo tunatafuta kibali tuwajiri tukafukuzwaaa bila maelekezo kujitolea sana jau
😁😁 kuna mdogo wangu kaenda field sasa kapokelewa na mtu kumbe ni intern tu naye ,ila amevimba kama mkuu wa idara,mikwara kibaoMwingine anakuulizia " dogo unaweza kazi lakini" nikajua ndo mkuu wa idara kumbe ni senior intern😀😀
Acha ubishi kijana mavyuo kbao kigezo ni GPA 3.5 Tofauti ya university na institute ni nini kama wote wanatoa mafunzo kuanzia degree hadi PhD na vinamilikiwa na serikali vyote? au umekariri mavyuo hayohayo unayoyapenda ya UDSM,UDOM,MUHAS, SUA. Kwavgezo vya TCU ile uwe tutorial assistant,assistant lecturer na lecturer ni GPA 3.5 undergraduateHukunielewa Mkuu mm nilizingumzia Universities na ujue siyo Kila chuo ni university hakuna chuo kikuu Cha Serikali chochote kinachochukua below 3.8 GPA.
😂😂,Nways hivi ushaanza kazi rasmi?Ase Unareport kazi kumbe anae kupokea kazi ni n I intern alafu anakuuliza umepataje hii nafasi 💪💪 ila kujitolea k wenye ofisi za serekali kuna mda akili zina lala Huoni kazi unajiridhisha 🤓🤓mimi nilijitolea mahali Miaka mi tano (5) ukiniona utajua mtumishi 😆😆🥳 siku tumefukuzwa tulikuta tangazo notes bodi !! Walikua wanatupa moyo tunatafuta kibali tuwajiri tukafukuzwaaa bila maelekezo kujitolea sana jau
Acha ubishi kijana mavyuo kbao kigezo ni GPA 3.5 Tofauti ya university na institute ni nini kama wote wanatoa mafunzo kuanzia degree hadi PhD na vinamilikiwa na serikali vyote? au umekariri mavyuo hayohayo unayoyapenda ya UDSM,UDOM,MUHAS, SUA. Kwavgezo vya TCU ile uwe tutorial assistant,assistant lecturer na lecturer ni GPA 3.5 unde
TCU walisha harmonize siku nyingi SanaAcha ubishi kijana mavyuo kbao kigezo ni GPA 3.5 Tofauti ya university na institute ni nini kama wote wanatoa mafunzo kuanzia degree hadi PhD na vinamilikiwa na serikali vyote? au umekariri mavyuo hayohayo unayoyapenda ya UDSM,UDOM,MUHAS, SUA. Kwavgezo vya TCU ile uwe tutorial assistant,assistant lecturer na lecturer ni GPA 3.5 undergraduate