Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Japo sijapata kazi, lakini naona ni busara kushukuru pia....
Serikali imetoa ajira nyingi, mimi mpaka nimefikia hatua ya kuchagua ipi niombe na ipi nisiombe....
Hii inatia moyo
kumbe kuna watu mnachagua hadi post za kuomba na hamtuambiiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yah n kwel kabisa, ht mm bado cjaona inayonifaa ila hakika ajira zinamwagwa [emoji91]
Hii imekuwa same too me ajira niliyoitarajia olaa database nayo mkeka sio muda unataka kuchanika.

Kwenye received nakutana na MDA LGA mwendo wa TGHs.

Wakati wenzako taasisi wanakula mema ya nchi na ulifanya usaili hadi oral ukapasua.

Ya Mungu mengi jamani hata Ibrahim alitakaga mtoto na yeye ila akaja kupata uzeeni
 
kumbe kuna watu mnachagua hadi post za kuomba na hamtuambiiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mzee ukiwa mpambanaji lazima hasa ukizoea hizi saili za utumishi kuna muda unajikuta una mzuka na taasisi.

Mimi kama ningekuwa na chimbo la kueleweka nadhani nisingeomba ajira za Tamisemi.

Haiwezekani mshahara wa Tamisemi mara mbili ya aliye MUHIMBILI.

Kwani mimi sitaki hela.
 
Tuendelee kusubiri tuone
 
kwani database yako si bado inasoma? soon Mungu ata bless tu
 
Hivi kuhama kutoka Halmashauri kwenda taasisi inabidi uwe na ukali gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…