Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

P.O.Box niliweka ya mchongo ili nisiache nafasi bila kujaza mkuu. Kwa sababu bila kujaza P.O.Box wasingeniruhusu kuendelea kufungua account
 
Huwa wanasema zikipita siku 7 tangu tangazo la placement litoke barua wanaituma kwenye sanduku la post ulilojaza.

Sasa inabidi ufuatilie kwenye sanduku la posta ulilojaza, baada ya hapo ndio utaweza kuamua kama uwafuate Migiro au la
 
Huwa wanasema zikipita siku 7 tangu tangazo la placement litoke barua wanaituma kwenye sanduku la post ulilojaza.

Sasa inabidi ufuatilie kwenye sanduku la posta ulilojaza, baada ya hapo ndio utaweza kuamua kama uwafuate Migiro au lakwa
Kwa muajiri unatakiwa kureport ndani ya muda gani tangu jina litokee kwenye pdf ?
 
dah jamaa kapishana na gari la mshahara.cha msingi aende utumishi tu..
nafikiri watampatia barua nyengine kama bado yupo ndani ya siku 21 tangu pdf lilipotoka sharti ikiwa kituo chake alichopangiwa hawakutoa taarifa utumishi ya kuto ripoti kwake huyo mwamba ikiwa zimezidi hizo siku 21
 
Nakushauri nenda utumisshi maelezo yote utapewa ,wao ndo wana majibu sahihi ya maswali yako
Niseme hongera kwa kupata kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…