Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
ni miezi 6,we cha kufanya nenda au wapigie simu utumishi watakupa muongozo ajira bado ipo.Wake watoe mwongozo make nipo njia panda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni miezi 6,we cha kufanya nenda au wapigie simu utumishi watakupa muongozo ajira bado ipo.Wake watoe mwongozo make nipo njia panda
Samahani unaweza kuquote huo muongozo? 🙏🏽kuna jamaa juzi aliipost ule muongozo upo juuu huko
P.O.Box niliweka ya mchongo ili nisiache nafasi bila kujaza mkuu. Kwa sababu bila kujaza P.O.Box wasingeniruhusu kuendelea kufungua accounttafuta ile pdf ya ajira portal,ila navojua ikiwa hujafata barua ndani ya wiki 2 unatumiwa kupitia address yako ulipo ila zikipita siku au sijui miezi 2 nafasi anapatiwa mtu mwengine,chakufanya nenda ofisi ya posta au ofisi ya sekretarieti ya ajira kupata taarifa kamili.
Nenda utumishi haraka kesho uwe umefika vingine utajua uko uko ukifika.P.O.Box niliweka ya mchongo ili nisiache nafasi bila kujaza mkuu. Kwa sababu bila kujaza P.O.Box wasingeniruhusu kuendelea kufungua account
Nan kakuambia kuwa usipoweka sanduku la posta huruhusiwi kufungua akauntiP.O.Box niliweka ya mchongo ili nisiache nafasi bila kujaza mkuu. Kwa sababu bila kujaza P.O.Box wasingeniruhusu kuendelea kufungua account
Halafu unakuta barua ilitumwa huko huko kwenye P.O BOX ya mchongoP.O.Box niliweka ya mchongo ili nisiache nafasi bila kujaza mkuu. Kwa sababu bila kujaza P.O.Box wasingeniruhusu kuendelea kufungua account
Huwa wanasema zikipita siku 7 tangu tangazo la placement litoke barua wanaituma kwenye sanduku la post ulilojaza.Wakuu nilikuwa napitia pdf nikakuta kumbe jina langu limo kwenye pdf ya mwezi wa 7 yaani mwezi ushakata make nilikuwa na majukumu sikuwa napitia website ya utumishi. Vipi nikienda utumishi wanaweza kunipa barua na nikaripoti kazini au ndo nimepoteza ajira kabisa.
Na je mtu usipoenda kuchukua barua na ikatokea kazi my nyingine unaweza kuomba?
Ambaye asha-experience issue kama ya kwangu naomba anipe mwongozo.
Nenda Migiro sasaP.O.Box niliweka ya mchongo ili nisiache nafasi bila kujaza mkuu. Kwa sababu bila kujaza P.O.Box wasingeniruhusu kuendelea kufungua account
Kwa muajiri unatakiwa kureport ndani ya muda gani tangu jina litokee kwenye pdf ?Huwa wanasema zikipita siku 7 tangu tangazo la placement litoke barua wanaituma kwenye sanduku la post ulilojaza.
Sasa inabidi ufuatilie kwenye sanduku la posta ulilojaza, baada ya hapo ndio utaweza kuamua kama uwafuate Migiro au lakwa
ndani ya siku 21Kwa muajiri unatakiwa kureport ndani ya muda gani tangu jina litokee kwenye pdf ?
nafikiri watampatia barua nyengine kama bado yupo ndani ya siku 21 tangu pdf lilipotoka sharti ikiwa kituo chake alichopangiwa hawakutoa taarifa utumishi ya kuto ripoti kwake huyo mwamba ikiwa zimezidi hizo siku 21dah jamaa kapishana na gari la mshahara.cha msingi aende utumishi tu..
Hiyo pia inatokea ni pale wanapo pdf kuchelewa kupelekea mtu kukata tamaa na kuwa bidhe na shughuli ingine sa kijamii, kiuchumi, kidini na culture!dah jamaa kapishana na gari la mshahara.cha msingi aende utumishi tu..
yes watampa tu maana hajachelewa saana..nafikiri watampatia barua nyengine kama bado yupo ndani ya siku 21 tangu pdf lilipotoka sharti ikiwa kituo chake alichopangiwa hawakutoa taarifa utumishi ya kuto ripoti kwake huyo mwamba ikiwa zimezidi hizo siku 21
Kawaida ni ndani ya siku 21.Kwa muajiri unatakiwa kureport ndani ya muda gani tangu jina litokee kwenye pdf ?
kwa kiswahili hakuna coz haileti maana nzuriWakuu naomba kuuliza kishwahili sahihi cha ADMISSION OFFICER NA QUALITY ASSURANCE ni kipi??
Afisa usajili na msimamizi wa uborakwa kiswahili hakuna coz haileti maana nzuri
Afisa usajili na msimamizi wa uboraWakuu naomba kuuliza kishwahili sahihi cha ADMISSION OFFICER NA QUALITY ASSURANCE ni kipi??
Nakushauri nenda utumisshi maelezo yote utapewa ,wao ndo wana majibu sahihi ya maswali yakoWakuu nilikuwa napitia pdf nikakuta kumbe jina langu limo kwenye pdf ya mwezi wa 7 yaani mwezi ushakata make nilikuwa na majukumu sikuwa napitia website ya utumishi. Vipi nikienda utumishi wanaweza kunipa barua na nikaripoti kazini au ndo nimepoteza ajira kabisa.
Na je mtu usipoenda kuchukua barua na ikatokea kazi my nyingine unaweza kuomba?
Ambaye asha-experience issue kama ya kwangu naomba anipe mwongozo.