Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu cheti cha kuzaliwa ni rahisi kufanyiwa edit, nenda RITA na leaving certificate, kitambulisho chako cha NIDA na pesa kama 13,000 kaanze mchakato ndani ya siku 14 unapata cheti kingine
 
Shida inaweza kuwa nn kuna speed ya mwezi wa saba ile kada yangu ilikomba 70 ila kwa miezi hii miwili inepungua kabisa
Shida ni afya na walimu wa tamisemi...hawa wameharibu mambo....wanatakiwa waende kazini kabla ya uchaguzi wa madiwani ili watu wapate kura na kula
 
Kwa usaili wa oral uliofanyika na watu wa afya kimikoa .Je, matokeo ya usaili yatashindanishwa kimikoa au kwa watu wote wa kada husika ?
 
Katika Oral zote ya mwaka huu imetia fola.

Jamaa hawana muda wa kupeti peti kama tulivyozoea.

Ukijibu Point 3 unasema ufikirie wahsaenda swali linalofuata.

Wakali.,wako harsh.

Mengine tuwachie wao
Hili ni minus kwao kama ni kweli wapo harsh, wanatakiwa waelewe wao ni watoa huduma na msahiliwa ni customer wake, bila msahiliwa basi yeye hapati posho wala mshahara.

Ni kujisahau tuu.
 
Hili ni minus kwao kama ni kweli wapo harsh, wanatakiwa waelewe wao ni watoa huduma na msahiliwa ni customer wake, bila msahiliwa basi yeye hapati posho wala mshahara.

Ni kujisahau tuu.
Sio harsh, sasa oral wapo watu 100, unaanza kusubiri mtu ajifikirie wakati swali basic....lakini watapita tu
 
Sio harsh, sasa oral wapo watu 100, unaanza kusubiri mtu ajifikirie wakati swali basic....lakini watapita tu
Acha kuwatetea msaka tonge mwenzetu.

Nimefanya oral staasisi kubwa na treatment ya juzi ilikuwa ya ovyo.

Kwanza hakuna panel ilikuwa na watu 100.

Wasaili walikuwa wanne wasailiwa walikuwa 20 inategemea na kada.

Muda DK 15.

Ila wengi wamefanya Dk 5 hadj 10 tena kwa kukimbizwa puts puta.

Asubuhi wanajizungusha wanakuja kuanza pepa saa 7 mchana baada ya kula unategemea nini hapo ?

Kiukweli hatuwezi kueleza mengi ila walikuwa Harsh.

Unashangaa ww unawatetea msubiria mikeka mwenzetu
 
Mkuu wakiwa hivyo ndio fresh maana yake hakuna kufeli hiyo...
Ila wakianza kukupa muda wa kufikiri we jua kisu kikali..
BTW, mwanangu unapenda kulalamika😀
 
Pole sana, yote ni katika kutafuta maisha ipo siku utafanikiwa ndugu
 
kuna ndugu yangu ameitwa kwenye usahili wa tutorial assistant lakini amepoteza cheti cha form 6. anaejua taratibu za kupata chet mbadala maana utumishi hawana huruma kwenye hilo
 
Status ikoje baada ya oral hasa ya kwenye app
 
kuna ndugu yangu ameitwa kwenye usahili wa tutorial assistant lakini amepoteza cheti cha form 6. anaejua taratibu za kupata chet mbadala maana utumishi hawana huruma kwenye hilo
Hiyo imempita aanze kusaka cheti NECTA...aombe cheti kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…