Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Humu ndani unaambiwa kaz haifai..haina malupulupu, mambo kibao, kumbe dogo kakaa kwa shemeji anaandika tu

Sasahvi wakiwa wanaandika uwe una wa sahihisha bhana kutusaidia sisi wwngine, maana uwa wanatukataga moto sana. Oja zao utasikia kuna mshikaji wangu mmoja yuko uko namwona jinsi anavyoishi..
 
Waongo hao...alaf mtu akiwa anaongea uongo lzma aweke reference kama hzo..mara kuna mjomba/kaka/dada...
Usiangalie mshahara, nenda kwanza kapige interview..
Kila interview iwe fainali
 
Sure sure.. Chief ww ulikua na oral ngapi mpka kubutua mzinga wa asari?
 
Huo ni ugonjwa unapataga wale watu ambao bado awajawa na pay-slip inayoeleweka. Unafikili ukiwa na pay-slip ya kujitosheleza unaupata?

Uginjwa wenyewe unakukimbia 😁😁😁
Mademu wasafi ndo magonjwa yao hayo
 
Aisee. Na mimi sielewi kabisa .
 
Halafu siku moja nije nipate kazi niwe lecturer wa chuo ,aisee ni mwendo wa supplementaries Tu na carries .
Ukuda ukuda Unoko Unoko .
Students hawajui msoto
 
Yudaaaaaa😂
 
Asante...sikuwah kuwaza kuwa ntakuwa academician[emoji3][emoji3]
Mungu yupo wakuu mshahara nilioambiwa utaingia, sijaamini aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi kwa mfumo wa ajira Portal, maombi yakishapokelewa (Received status) probability ya kuitwa written interview inakuwa kama asilimia ngapi? Wazoefu msaada wenu unahitajika hapa'
 
99% kama uliattach kila kitu kwa usahihi kama walivyokuelekeza, kuanzia pasipoti, barua iliyosainiwa nankuelekezwa kwa address husika,pia vyeti viwe certified.
 
Hivi kwa mfumo wa ajira Portal, maombi yakishapokelewa (Received status) probability ya kuitwa written interview inakuwa kama asilimia ngapi? Wazoefu msaada wenu unahitajika hapa'
Kama ulifata maelekezo yote vizuri ya kwenye Tangazo basi una 99.9% ya kuitwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…