Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tubadilishane mawazo Wakuu
Tanapa wametoa Tangazo Nafasi (5) kitengo X...
Vijana wanapamba mpaka hatua ya mwisho kupigania nafasi tano inakuja kutoka ni moja tu kapangiwa...
Hii Imekaaje ....
 
Unakuta wengine hawakufaulu Oral Mkuu na kwa Psrs hivyo ni vitu vinatokea Sana,mfano mwaka huu Kuna interview tulifanya ilikuwa inahitajii watu (7) tukapiga written, practical Hadi oral tukaingia watu 20 ila waliitwa kazini watu wawili(02) tuu,nafasi wakaongeza zingine wakarudia kuzitangaza upya so kuingia oral interview haimaniishi kuwa hakuna kufelii,,,,,ila sema Psrs hawana huruma kabisaa
 
Kwahiyo maana yake pale kada nyingine ambazo hazipo hapo zimefeli zotee??au wataziita nazo huko baadae
 
Unakuta wengine hawakufaulu Oral Mkuu na kwa Psrs hivyo ni vitu vinatokea Sana,mfano mwaka huu Kuna interview tulifanya ilikuwa inahitajii watu (7) tukapiga written, practical Hadi oral tukaingia watu 20 ila waliitwa kazini watu wawili(02) tuu,nafasi wakaongeza zingine wakarudia kuzitangaza upya so kuingia oral interview haimaniishi kuwa hakuna kufelii,,,,,ila sema Psrs hawana huruma kabisaa
Tafakari Kiongozi...
Kama wriitten ukifaulu kuna status inakuonyesha...
Practical ukifauli kuna status inakuonyesha...
Kwanini Oral iwe siri na wakati mambo yote yapo kidigital yanaenda
Kutupotezea mda tu watoto masikini tunaotafuta ela ya nauli kwa shida kuinua Familia wakat watoto wao wamekaa nyumbani wanaitwa kazini
 
Kiukwelii mkuu hili jambo la kuweka matokeo ya Oral wazii kuonyesha kama mtu alifeli au alifaulu ingesaidia saana lkn mara zote ukiuliza Psrs wanadai kwamba ukiona kwamba umefaulu halafu upo database utaacha kufanya usailii halafu baadaye database iexpire hujapata nafasi utawalalamikia ndiyo sababu zao ambazo naona kwangu Mimi sikubaliani nazo
 
Back
Top Bottom