Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwo ni ushauri wa bureWaziri anasema vijana jiarini, tumieni akili zenu kjikomboa, lakini yeye yupo ajirani !
Endelea kupambanaLeteni updates. Nini kimetokea, nipo kijijini huku nafanya udalali wa kuandaa mashamba
Mda bado mkuu ngoja watoe ya walimu mkuu zitarudTunakoelekea kuna mwaka PDF itakuwa inaonekana kila baada ya miezi 3.
Mambo yanabadilika sana nowdays.
Watu hawataki umeneja buanakaongezeni received uko au hamtaki umeneja
shida vigezoWatu hawataki umeneja buana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Halafu siku moja nije nipate kazi niwe lecturer wa chuo ,aisee ni mwendo wa supplementaries Tu na carries .
Ukuda ukuda Unoko Unoko .
Students hawajui msoto
Unakumbuka afya tulipokuwa tunafanya usaili hakukua na mkeka wowote ule.Mda bado mkuu ngoja watoe ya walimu mkuu zitarud
presentation huwa ni dk ngapiOral nilikuwa nayo moja MDA..ila hii ya TA sio nafas ya database
Nakumbuka mkuu watu humu sio mda tutashuhudia shuhuda nyingi kweli kweliUnakumbuka afya tulipokuwa tunafanya usaili hakukua na mkeka wowote ule.
Acha tu mkuu wanakuambia experience 10 years 😂😂😂shida vigezo
Tunaijua hiyo ww mwenyewe mchumia jua.Afya Jumatatu kaeni mkao wa kula