Mkuu ili swali ni zuri mno mkuu. Ungelituma kwa page yao tungepata ya uhakika?? Sema inakatisha sana tamaaTubadilishane mawazo Wakuu
Tanapa wametoa Tangazo Nafasi (5) kitengo X...
Vijana wanapamba mpaka hatua ya mwisho kupigania nafasi tano inakuja kutoka ni moja tu kapangiwa...
Hii Imekaaje ...
Watakwambia wamefeli.Tubadilishane mawazo Wakuu
Tanapa wametoa Tangazo Nafasi (5) kitengo X...
Vijana wanapamba mpaka hatua ya mwisho kupigania nafasi tano inakuja kutoka ni moja tu kapangiwa...
Hii Imekaaje ....
Safi sana mkuu, umeenda kuripoti kazin ukiwa na mawazo ya kulipwa 1M unakutana na 3M 🔥
kumbe tutorial assistance anakunja 3M aiseeSafi sana mkuu, umeenda kuripoti kazin ukiwa na mawazo ya kulipwa 1M unakutana na 3M 🔥
[emoji3][emoji3] usifanye hivo mkuu maana kuwa academician unatakiwa kuwa mlezi pia. Na unatakiwa kutenda haki bila kumuonea mtu. Speaking as the experienced academician.Halafu siku moja nije nipate kazi niwe lecturer wa chuo ,aisee ni mwendo wa supplementaries Tu na carries .
Ukuda ukuda Unoko Unoko .
Students hawajui msoto
Sijuikumbe tutorial assistance anakunja 3M aisee
acha raia walimwe sapu tu kwa mtindo huu[emoji3][emoji3] usifanye hivo mkuu maana kuwa academician unatakiwa kuwa mlezi pia. Na unatakiwa kutenda haki bila kumuonea mtu. Speaking as the experienced academician.
[emoji3][emoji3][emoji3]Hamna mkuu Mwenyezi Mungu akitupa hyo nafasi tutende haki tu.acha raia walimwe sapu tu kwa mtindo huu
What goes around comes around 😂😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3]Hamna mkuu Mwenyezi Mungu akitupa hyo nafasi tutende haki tu.
Mfano mzuri mimi wakati nasoma olevel kuna mwalimu alikuwa ananichukia sana na kunichapa sana kwa sababu zisizoeleweka and by that time alikuwa ni Diploma holder. Baada ya muda aliamua kwenda kujiendeleza kimasomo (kuitafuta degree).
Guess what happened
Alinikuta nafundisha course mojawapo kwenye darasa lake.
Point to note: Be humble always.
[emoji3][emoji3][emoji3]Hamna mkuu Mwenyezi Mungu akitupa hyo nafasi tutende haki tu.
Mfano mzuri mimi wakati nasoma olevel kuna mwalimu alikuwa ananichukia sana na kunichapa sana kwa sababu zisizoeleweka and by that time alikuwa ni Diploma holder. Baada ya muda aliamua kwenda kujiendeleza kimasomo (kuitafuta degree).
Guess what happened
Alinikuta nafundisha course mojawapo kwenye darasa lake.
Point to note: Be humble always.
Labda Harvard, Toronto, Yale, Oxford,kumbe tutorial assistance anakunja 3M aisee
Hapanakumbe tutorial assistance anakunja 3M aisee
Kwan wameitwa kwenye usaili?waalimu tupeni mrejesho kinachojili kwenye saili zenu mpo kimya sana aisee au mambo yapo shwari kabisa
Sijui kwani bado?? Tu mbona wanawachelesha sasaKwan wameitwa kwenye usaili?
Dah huyu jamaa alitusimamia usaili mwezi wa pili pale Asha Migiro😢😢😢 daah apumzike salama aseeView attachment 3117569
Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anatoa pole kwa familia, watumishi, ndugu, jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mtumishi wake, Ibrahim Amiri ambaye amefariki dunia kwa ajali ya gari.
Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.