Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

.
Tubadilishane mawazo Wakuu
Tanapa wametoa Tangazo Nafasi (5) kitengo X...
Vijana wanapamba mpaka hatua ya mwisho kupigania nafasi tano inakuja kutoka ni moja tu kapangiwa...
Hii Imekaaje ...
Mkuu ili swali ni zuri mno mkuu. Ungelituma kwa page yao tungepata ya uhakika?? Sema inakatisha sana tamaa
 
Halafu siku moja nije nipate kazi niwe lecturer wa chuo ,aisee ni mwendo wa supplementaries Tu na carries .
Ukuda ukuda Unoko Unoko .
Students hawajui msoto
[emoji3][emoji3] usifanye hivo mkuu maana kuwa academician unatakiwa kuwa mlezi pia. Na unatakiwa kutenda haki bila kumuonea mtu. Speaking as the experienced academician.
 
acha raia walimwe sapu tu kwa mtindo huu
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Hamna mkuu Mwenyezi Mungu akitupa hyo nafasi tutende haki tu.

Mfano mzuri mimi wakati nasoma olevel kuna mwalimu alikuwa ananichukia sana na kunichapa sana kwa sababu zisizoeleweka and by that time alikuwa ni Diploma holder. Baada ya muda aliamua kwenda kujiendeleza kimasomo (kuitafuta degree).

Guess what happened

Alinikuta nafundisha course mojawapo kwenye darasa lake.

Point to note: Be humble always.
 
What goes around comes around 😂😂😂😂
 
Kama ni she na ana nyashi unatembea na stake tuu kama fidia.
😂😂😂
 
IMG_6160.jpeg

Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anatoa pole kwa familia, watumishi, ndugu, jamaa na marafiki kwa kuondokewa na mtumishi wake, Ibrahim Amiri ambaye amefariki dunia kwa ajali ya gari.

Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
 
View attachment 3117569

Dah huyu jamaa alitusimamia usaili mwezi wa pili pale Asha Migiro😢😢😢 daah apumzike salama asee
 
Back
Top Bottom