Mwanjangle
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 294
- 331
😅Ni kweli mkuu ila tusiwe wapole sana, tusiwe wanyonge kihivyo lazima tuwafokee fokee kidogo ili wawahishe mambo. Wengine tunasubiri check number ili tulipe madeni mtaani
Swala la muda ,aya waliokuwa wanapiga kelele kuhusu Tanapa walete ushuhuda apaKama kuna raia hapa wa tanapa na amelamba asali na alikuwa akilalamika kuhusu ucheleweshaji wa pdf, sasa hv ukimuuliza hawezi kukumbuka kama kulikuwa na ucheleweshaji.
Guys, mm naona kwenye mambo ambayo yapo nje ya uwezo wetu hasa hapo kwenye kutoa pdf tuzidi kuwa wapole huku kumuomba Mungu mana pdf zinaweza kutolewa kila siku na bado haupo, n bora zichelewe then siku wakitoa bc na ww uwepo.
notedAcheni kuwaogopa hao viazi wanaojifanya wanatoa misaada.
Msaada uko katika bwana aliyeziumba mbingu na nchi.
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu na amfanyae kinga yake.
Zab 23 BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. Naam, nijapopita kati ya bonde la kivuli cha mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika. Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.
Wafilipi 4;13.Naweza kufanya mambo yote katika yeye anipaye nguvu
Zab 56;11
Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini
pdf moja limepigwa shoka 🤣 🤣 🤣Utumishi bana wameamua kutuzuga na mikeka ya Tanapa mwezi huu.
Watoe majina mengine sasa.
Hongera kwa mliopata
😂😂😂😂😂pdf moja limepigwa shoka 🤣 🤣 🤣
😀Mshahara ni addiction, kabla ya kupata pesa mipango tele ukipata unakesha baa. Hizi pesa za udalali nimeshindwa kufanya la maana, nikiajiriwa si nitakuwa nalala na kuamkia baa kisha kituo cha kazi
Uzi wa mapambano na marumbano tuko pamoja jobless hadi wote tulambe asali
Hakuna comments inayonipita kwenye huu uzi yani nasoma word-to-word kama najiandaa na UE
Kulikuwa na umuhimu gani wa kutoa pdf la 4 nq 10 si wangecombine mojapdf moja limepigwa shoka [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
wanatuona watoto wadogo hayo majina yametoka yote pamojaKulikuwa na umuhimu gani wa kutoa pdf la 4 nq 10 si wangecombine moja
Halfu database imeexpire kwani.wanatuona watoto wadogo hayo majina yametoka yote pamoja
Mimi nashauri ukiona umekaa database unakaribia mwaka bila kuitwa, achana na database anza kujipanga kwa ajili ya sahili nyingineHalfu database imeexpire kwani.
🤣 🤣 wametoa kada yako?Dah nimeshenyentwa na Tanapa Dadeq 😢
database ya tanapa sijajuaHalfu database imeexpire kwani.
Kada nyingine hakuna mikeka kabisadatabase ya tanapa sijajua
Eeh kaka yani hapa sina amani kabisa, wale wachache wanaopindisha A kuwa B sijui wamenifanyia ubaya ubwela?🥺🥺🤣 🤣 wametoa kada yako?