Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama kuna raia hapa wa tanapa na amelamba asali na alikuwa akilalamika kuhusu ucheleweshaji wa pdf, sasa hv ukimuuliza hawezi kukumbuka kama kulikuwa na ucheleweshaji.

Guys, mm naona kwenye mambo ambayo yapo nje ya uwezo wetu hasa hapo kwenye kutoa pdf tuzidi kuwa wapole huku kumuomba Mungu mana pdf zinaweza kutolewa kila siku na bado haupo, n bora zichelewe then siku wakitoa bc na ww uwepo.
Swala la muda ,aya waliokuwa wanapiga kelele kuhusu Tanapa walete ushuhuda apa
 
Acheni kuwaogopa hao viazi wanaojifanya wanatoa misaada.

Msaada uko katika bwana aliyeziumba mbingu na nchi.

Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu na amfanyae kinga yake.

Zab 23 BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza. Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. Naam, nijapopita kati ya bonde la kivuli cha mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji. Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika. Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.


Wafilipi 4;13.Naweza kufanya mambo yote katika yeye anipaye nguvu

Zab 56;11

Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini
noted
 
Uzi wa mapambano na marumbano tuko pamoja jobless hadi wote tulambe asali
1728560315617.png
 
Back
Top Bottom