Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Na tamisemi inaitwa wizara ya afya basi wangeweka kama ilivyoainishwa kwenye employer MDAs na LGAs ambazo ni wizara na tamisemi tena mwajiri ni mkoa husika. Labda kama watamegwa uko uko dodoma wakienda fata barua. Pia Kuna uwezekano wa kumwaga ajira kama kipindi cha kikweteNazani hzo pdf za afya ni both wizara na tamisem,kwa serekal yetu navyoijuw haiwez kuajiri watu weng..hapo bado kuna walimu na uchaguzi nadhan itakuwa muundo wa ttamisem ktk kuajiri umebadilishwa after utumish kutake over .
trust me,mfumo wa ajira umebadilika may be tamisemi iawezi kufanya michakato yote afya,walimu,uciaguzi n.k ndyo maana ajira zkapelekwa utumish lengo ni quality ya wa wafanyakazi..Na tamisemi inaitwa wizara ya afya basi wangeweka kama ilivyoainishwa kwenye employer MDAs na LGAs ambazo ni wizara na tamisemi tena mwajiri ni mkoa husika. Labda kama watamegwa uko uko dodoma wakienda fata barua. Pia Kuna uwezekano wa kumwaga ajira kama kipindi cha kikwete
Great, hongera SanaASANTE MUNGU NA MALAIKA WAKE ATIMAYE NIMEPATA KAZI...
Haikuwa Rahisi.
Utumishi wanaratibu ajira zote za wizara, tamisemi na idara mbali mbali ,hivyo waajiri wanampa kazi utumishi ya kuchambua watu kwa sahili, kwa iyo ata za wizara zimepita uko, na ata tamisemi zimepita uko, ishu ni kuna wadau washasema inaonekana wizara walihitaji watu ndio wakachukuliwa hao, je vipi tamisemi ambao ndo tangazo lao lilibebana na MDAs na LGAs.labda kama ajira zipo kisiasa lakini tamisemi nao wanatakiwa kuajiri watu wao hizi ni taasis mbili tofaut.elewatrust me,mfumo wa ajira umebadilika may be tamisemi iawezi kufanya michakato yote afya,walimu,uciaguzi n.k ndyo maana ajira zkapelekwa utumish lengo ni quality ya wa wafanyakazi..
ASANTE MUNGU NA MALAIKA WAKE ATIMAYE NIMEPATA KAZI...
Haikuwa Rahis
Hongera sana mkuu, kawe mtumishi mwemaASANTE MUNGU NA MALAIKA WAKE ATIMAYE NIMEPATA KAZI...
Haikuwa Rahisi.
hongera sana mzeeASANTE MUNGU NA MALAIKA WAKE ATIMAYE NIMEPATA KAZI...
Haikuwa Rahisi.
Hongera sana mkuu mteue mkaimu atakaechukua nafasi yako humu ulikuwa kiungo muhimu kwenye huu uziASANTE MUNGU NA MALAIKA WAKE ATIMAYE NIMEPATA KAZI...
Haikuwa Rahisi.
Umelalamika sana, Sir God akaamua akushushie Baraka π₯π₯ASANTE MUNGU NA MALAIKA WAKE ATIMAYE NIMEPATA KAZI...
Haikuwa Rahisi.
Nikajua wizara ndio hufuata dodoma, halafu tamisemi kwa halmashauri husika (utumishi)..kumbe wote dodoma
Hongera sanaaaa mkuuASANTE MUNGU NA MALAIKA WAKE ATIMAYE NIMEPATA KAZI...
Haikuwa Rahisi.
ASANTE MUNGU NA MALAIKA WAKE ATIMAYE NIMEPATA KAZI...
Haikuwa Rahisi.
Halafu kaka ,kada yako si mliitwa buku na ushee, naona pale wamieta kama 405 hiviASANTE MUNGU NA MALAIKA WAKE ATIMAYE NIMEPATA KAZI...
Haikuwa Rahisi.
Imean mlitakiwa nafasi elfu moja?Halafu kaka ,kada yako si mliitwa buku na ushee, naona pale wamieta kama 405 hivi
ππππππππzahanati matuju au njilinji
Kwa kuwa mchakato wa ajira umefanywa na PSRS, lazima upate barua ya PSRS ambayo ndio unaenda nayo kwa mwajiri awe KM - Afya pale Dodoma ambae nae anakupa barua nyingine ya kwenda kituo cha kazi hospitali ya rufaa ya Kigoma au akiwa ni Mkoa basi uende mkoani ambapo napo watakupa barua ya kwenda kituo chako cha kazi Zahanati ya Matuju.
It means wanaendelea kuita mpka idadi yao itimie.Wametoa majina kidg kidg kama ilivyokuwa kwa MD,Waliitwa 45 den 681 wakatimiza 726 iliyohitajika.Imean mlitakiwa nafasi elfu moja?
Hongera mkuuASANTE MUNGU NA MALAIKA WAKE ATIMAYE NIMEPATA KAZI...
Haikuwa Rahisi.