Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nazani hzo pdf za afya ni both wizara na tamisem,kwa serekal yetu navyoijuw haiwez kuajiri watu weng..hapo bado kuna walimu na uchaguzi nadhan itakuwa muundo wa ttamisem ktk kuajiri umebadilishwa after utumish kutake over .
 
Na tamisemi inaitwa wizara ya afya basi wangeweka kama ilivyoainishwa kwenye employer MDAs na LGAs ambazo ni wizara na tamisemi tena mwajiri ni mkoa husika. Labda kama watamegwa uko uko dodoma wakienda fata barua. Pia Kuna uwezekano wa kumwaga ajira kama kipindi cha kikwete
 
trust me,mfumo wa ajira umebadilika may be tamisemi iawezi kufanya michakato yote afya,walimu,uciaguzi n.k ndyo maana ajira zkapelekwa utumish lengo ni quality ya wa wafanyakazi..
 
Utumishi wanaratibu ajira zote za wizara, tamisemi na idara mbali mbali ,hivyo waajiri wanampa kazi utumishi ya kuchambua watu kwa sahili, kwa iyo ata za wizara zimepita uko, na ata tamisemi zimepita uko, ishu ni kuna wadau washasema inaonekana wizara walihitaji watu ndio wakachukuliwa hao, je vipi tamisemi ambao ndo tangazo lao lilibebana na MDAs na LGAs.labda kama ajira zipo kisiasa lakini tamisemi nao wanatakiwa kuajiri watu wao hizi ni taasis mbili tofaut.elewa
 
Nikajua wizara ndio hufuata dodoma, halafu tamisemi kwa halmashauri husika (utumishi)..kumbe wote dodoma

Kwa kuwa mchakato wa ajira umefanywa na PSRS, lazima upate barua ya PSRS ambayo ndio unaenda nayo kwa mwajiri awe KM - Afya pale Dodoma ambae nae anakupa barua nyingine ya kwenda kituo cha kazi hospitali ya rufaa ya Kigoma au akiwa ni Mkoa basi uende mkoani ambapo napo watakupa barua ya kwenda kituo chako cha kazi Zahanati ya Matuju.​
 
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌zahanati matuju au njilinji
 
Back
Top Bottom