Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Upo kada gani mkuu, kama ni afya kwa huo mwaka mmoja uliobakisha kuhitimu hawawezi kukukatalia, ukifika ongea na Mkuu wa Idara atakuelekeza cha kufanya.

Usiwe na uoga, watu wengi wameweza kuruhusiwa kurudi shule hata wale waliokua wanaanza kabisa.
Ndio ni afya, Asante sana mkuu nitafanyia maelekezo maelezo haya
 
Wakuu naomba mwenye link au kitabu ka hiki
 

Attachments

  • Screenshot_20241104-082005_Chrome.jpg
    195 KB · Views: 8
Wakuu naomba kuuliza. Ukifanya written interview, je kama kuna practical wana shortlist majina au wote waliofanya written wanafanya practical?
Baada ya written inayofuata ni oral au practical kutegemea NA NATURE ya kazi yenyewe!! Siyo wote wanaofanya written wanafanya practical!!.
 
Mwajiri anatafuta mtu kwa sasa!! Huwezi kuomba nafasi ya kumaliza masomo kwa sasa!! Cha kufanya:
1. Andika barua ya kuahirisha masomo kwa kipindi cha miaka 2
2. Baada ya kuahirisha masomo nenda karipoti kazini!
3. Baada ya miaka miwili hapo utakuwa umeshathibitishwa kazini na unaweza sasa kuomba kibali cha kwenda masomoni kumalizia shahada yako.
NB: Huwezi kuruhusiwa kwenda masomoni kabla ya kuwa kazini kwa angalau miaka 2.
 
Ndio ni afya, Asante sana mkuu nitafanyia maelekezo maelezo haya
Kanuni za utumishi haziruhusu:
1 Mtu kuomba kwenda kusoma kabla ya: 1. Kthibitishwa kazini 2. kumtumikia mwajiri kwa angalau miaka miwili. Kinyume cha hapo ni harufu ya rushwa!! HR anaweza kukuruhusu kwa udanganyifu wa aidha likizo ya ugonjwa na ukawa na vyeti vya ugonjwa vya kununua!!
Njia sahihi iliyonyooka ni kuahirisha masomo!!! Hiyo inakubalika.
 
Bado halmashauri kibao hazijatoa placement kwa kada za afya. Watu wengi wa kada ya afya waliofanikiwa kuingia oral watalamba asali, labda kama mtu ashindwe kabisa kupata hata marks 50 za oral!! Kwa kawaida wanapotafutwa watu wengi oral huwa haikazwi!!
 
Mnaziona ni nyingi ila zikijumlishwa idadi ni Ile Ile 9800+, naongelea hizi za local government
 
Sija fanikiwa ata kuliona lango nka pigwa red card, na copy ya hati ya kiapo ilio pigwa na mhuri wa ku certify kwamba ni true copy still wame nikazia
Mkuu ni nin?? Hicho wamekupiga red card
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…