Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Majina ya Nida na vyeti yame tofautiana ivyo huwa natumia affidavit of names (kiapo cha kuthibitisha majina )
so leo nilkua na copy ya iyo hati na imekua certified. pia huwa natumia kwa interview zote ila leo wame goma..
Mara nyingi huwa hawataki copy ukifika pale ni original mwanzo mwisho.
 
Nina rafiki yangu anafanya kazi chombo fulani cha habari, aliniambia kuna watu wana kigugumizi na wanasoma taarifa ya habari vizuri tu na huwezi kujua kama wana hiyo changamoto, kafanye interview mkuu ukipita kuna training hadi uive, goodluck.
 
Majina ya Nida na vyeti yame tofautiana ivyo huwa natumia affidavit of names (kiapo cha kuthibitisha majina )
so leo nilkua na copy ya iyo hati na imekua certified. pia huwa natumia kwa interview zote ila leo wame goma..
duh! pole sana
 
Shukrani nimekuelewa mkuu
 
Majina ya Nida na vyeti yame tofautiana ivyo huwa natumia affidavit of names (kiapo cha kuthibitisha majina )
so leo nilkua na copy ya iyo hati na imekua certified. pia huwa natumia kwa interview zote ila leo wame goma..
Piga NIDA chini, tafuta barua ya mwenyekiti wa mtaa uwe unaenda nayo
 
Database inafanya kazi, kuna jamaa nilifanya nao usaili TANAPA hawakuitwa kazini, lakini juzi wamepangiwa sehemu nyingine wakiwa wameshakata tamaa🤗Tuzidi kupambana wazee na tusiache kuhudhuria usaili
Tanapa imesomba sanaa watu .....
Toka mwaka jana walichukua watu toka 2022 na Inazihirisha kabisa toka Kauli yaMwenyekiti wa board Tanapa( Mabeyo)kauli aliyotoa kwa vijana inaonekana....Kigugumizi kipo kwenye Taasisi nyingine hizo(wana weka watoto wao kwa mgongo wa wanajitolea) kuona Tangazo la ajira baada ya miaka 2 hapo changamoto ipo database.
Mwisho
Utumishi waondoe kikomo cha Database ....
 
Database inafanya kazi, kuna jamaa nilifanya nao usaili TANAPA hawakuitwa kazini, lakini juzi wamepangiwa sehemu nyingine wakiwa wameshakata tamaa🤗Tuzidi kupambana wazee na tusiache kuhudhuria usaili
juzi mbona hamna pdf wamepangiwa vipi walipigiwa simu au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…