Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hao watakuwa wshapangiwa sehemu zingine huko.

Kwanza waliwahi kuchukuliwa mwaka jana July kutoka database ambao walifanya oral za MDAs & LGAs, ambapo hizo oral zilifanyika ikiwa zile za NAOT zishafanyika kitambo
mbona kwa TRA database haitokei hivyo kwa upande wa Tax
 
Kwani mkuu TRA si walisha jitoa na mfumo wa usaili kufanyika utumishi au nini kina endelea mpaka sasa..?
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€...Mkuu tunaelekea kwenye chaguzi 2025 ...
Pale walikuwa wanaingiza watoto wao na sio Wao tu kuna baadhi ya Taasisi waliokuwa wanafanya kazi kwa mikataba wamepewa ajira ya kudumu mwaka jana..
Mpaka sasa Utumishi huruma hawana kama wametoa Baraka kwa hao waliopita kwa mgongo wa mtoto wa mjomba kupata ajira kudumu huku wanakotenda haki wanapata kigugumizi....
Mungu atutetee tu
 
Mambo kwenye kada ya IT na Telecom yamebadilika sana. Najipanga kipindi kijacho, ngoja niingie Botswana kutafuta maisha. Wish me good luck ndugu zanguni.
Duh !.
MTelecommunist vipi tena kaka ?
Umekula ndoige kali sana nini ?
Rahsully nawewe umenyooshwa , hali mbona mbaya aisee ?
 
ninachojiuliza hao waliofeli wote hata wakitangaza nafasi si wataomba haohao tu au watachuja tena kama ili kama mtu uliomba mara ya kwanza usiweze kuomba.cha msingi waandae maswali mengine wawaite haohao tu kama kulikua na shida ya mfumo
TEMESA wanasema uende kupiga paper la Electrical Engineering ,uache uoga wako.
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Unawashauri vipi ?
 
TEMESA wanasema uende kupiga paper la Electrical Engineering ,uache uoga wako.
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Unawashauri vipi ?
ngoja nivute pumzi kwanza nimechoka kuchezea ela๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hili tatizo sio mara ya kwanza kwa IT hii ishu ya prac ni changamoto sana wanafanya kama hawajajiandaa vile.
 
Zikirudi utumishi ajira zao itakuwa safi sana kwa sisi wakulima huku kwa maana utaratibu utakuwa na uwazi mkubwa kuliko hali tulio pitia mara ya mwisho kwenye usahili wao mkuu. Mungu awe nasi kwakweli mambo yabadilike.
 
Nilikuwa nasuburia advertisement karibia mwaka mzima..
Leo na nasuburia call for interview inaenda miezi mi nne๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Then nitaanza kusubiria placement tena ya database mwaka mzima๐Ÿ˜€
Mungu atutie nguvu jobless
 
Nilikuwa nasuburia advertisement karibia mwaka mzima..
Leo na nasuburia call for interview inaenda miezi mi nne๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Then nitaanza kusubiria placement tena ya database mwaka mzima๐Ÿ˜€
Mungu atutie nguvu jobless
Nimeamua kwa akili yangu timamu kuachana na ajira za utumishi. Bora nikomae na private sectors.
 
Nimeamua kwa akili yangu timamu kuachana na ajira za utumishi. Bora nikomae na private sectors.
Mkuu nimapema sana kulusha taulo, naelewa situation yako, narudia tena hakuna kitu kigumu kama kurudi mchezoni baada ya kukandwa, na hii hutokana na dedication, sacrifice mtu aliyoifanya kujiandaa na hiyo interview, with time you will heal, kunywa maji mengi moyo uelee
 
Poleni sana kwa changamoto iliyotokea, upo muda na wakati sahihi wa kuinuliwa na Mungu. Samahani kama ulipiga practical ya data analyst naomba msaada wa maswali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ