zoga
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 779
- 1,527
Inamaana database NAOT waliofanya Utumishi haitoshi idadi hiyo....Kuna nafasi 28 NAOT wenye sifa mshindwe wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana database NAOT waliofanya Utumishi haitoshi idadi hiyo....Kuna nafasi 28 NAOT wenye sifa mshindwe wenyewe
Zinaweza zikaja(haijukikani), si umeona Political Science imeguswa hapoTatizo hawanaga za Telecom hao
Hao watakuwa wshapangiwa sehemu zingine huko.Inamaana database NAOT waliofanya Utumishi haitoshi idadi hiyo....
mbona kwa TRA database haitokei hivyo kwa upande wa TaxHao watakuwa wshapangiwa sehemu zingine huko.
Kwanza waliwahi kuchukuliwa mwaka jana July kutoka database ambao walifanya oral za MDAs & LGAs, ambapo hizo oral zilifanyika ikiwa zile za NAOT zishafanyika kitambo
Kwani mkuu TRA si walisha jitoa na mfumo wa usaili kufanyika utumishi au nini kina endelea mpaka sasa..?mbona kwa TRA database haitokei hivyo kwa upande wa Tax
😀😀😀...Mkuu tunaelekea kwenye chaguzi 2025 ...Kwani mkuu TRA si walisha jitoa na mfumo wa usaili kufanyika utumishi au nini kina endelea mpaka sasa..?
Duh !.Mambo kwenye kada ya IT na Telecom yamebadilika sana. Najipanga kipindi kijacho, ngoja niingie Botswana kutafuta maisha. Wish me good luck ndugu zanguni.
TEMESA wanasema uende kupiga paper la Electrical Engineering ,uache uoga wako.ninachojiuliza hao waliofeli wote hata wakitangaza nafasi si wataomba haohao tu au watachuja tena kama ili kama mtu uliomba mara ya kwanza usiweze kuomba.cha msingi waandae maswali mengine wawaite haohao tu kama kulikua na shida ya mfumo
Poleni sana kwa kufeli kwa hio hawatowaajiri watachukua wengine kuwapa hizo nafasi maana zimeshapita hapo ni mwendo wa channel tu sasa huna channel endelea kusugua benchMkuu matokeo yametoka, tumefeli wote room nzima.
ngoja nivute pumzi kwanza nimechoka kuchezea ela😂😂TEMESA wanasema uende kupiga paper la Electrical Engineering ,uache uoga wako.
😆😆😆😆😆😆😆
Unawashauri vipi ?
Hili tatizo sio mara ya kwanza kwa IT hii ishu ya prac ni changamoto sana wanafanya kama hawajajiandaa vile.Mimi ni miongoni wa tuliofanya interview za TCRA jana. Tumefeli sio kwa kutokujua bali tumefeli sababu ya poor organization na arrangements. Zile computer hazijawa configured vzr, password za kuingia kwenye database server hazipo sawa, unajikuta unatumia muda mrefu kufanya configurations, muda unaisha hata swali hujamaliza. Nashauri turudie pepa lakini computers ziwe well configured kusiwe na mazingira magumu.
Mimi ni miongoni wa tuliofanya interview za TCRA jana. Tumefeli sio kwa kutokujua bali tumefeli sababu ya poor organization na arrangements. Zile computer hazijawa configured vzr, password za kuingia kwenye database server hazipo sawa, unajikuta unatumia muda mrefu kufanya configurations, muda unaisha hata swali hujamaliza. Nashauri turudie pepa lakini computers ziwe well configured kusiwe na mazingira magumu.
Zikirudi utumishi ajira zao itakuwa safi sana kwa sisi wakulima huku kwa maana utaratibu utakuwa na uwazi mkubwa kuliko hali tulio pitia mara ya mwisho kwenye usahili wao mkuu. Mungu awe nasi kwakweli mambo yabadilike.😀😀😀...Mkuu tunaelekea kwenye chaguzi 2025 ...
Pale walikuwa wanaingiza watoto wao na sio Wao tu kuna baadhi ya Taasisi waliokuwa wanafanya kazi kwa mikataba wamepewa ajira ya kudumu mwaka jana..
Mpaka sasa Utumishi huruma hawana kama wametoa Baraka kwa hao waliopita kwa mgongo wa mtoto wa mjomba kupata ajira kudumu huku wanakotenda haki wanapata kigugumizi....
Mungu atutetee tu
Nimeamua kwa akili yangu timamu kuachana na ajira za utumishi. Bora nikomae na private sectors.Nilikuwa nasuburia advertisement karibia mwaka mzima..
Leo na nasuburia call for interview inaenda miezi mi nne😀😀
Then nitaanza kusubiria placement tena ya database mwaka mzima😀
Mungu atutie nguvu jobless
Mkuu nimapema sana kulusha taulo, naelewa situation yako, narudia tena hakuna kitu kigumu kama kurudi mchezoni baada ya kukandwa, na hii hutokana na dedication, sacrifice mtu aliyoifanya kujiandaa na hiyo interview, with time you will heal, kunywa maji mengi moyo ueleeNimeamua kwa akili yangu timamu kuachana na ajira za utumishi. Bora nikomae na private sectors.
Bora wewe umeondokana na stress zisizo za lazima.Nimeamua kwa akili yangu timamu kuachana na ajira za utumishi. Bora nikomae na private sectors.
Acha tu kaka wa umeme wote tulipasuka mule😂 😂 😂 naskia pepa lilikua full dsp
Poleni sana kwa changamoto iliyotokea, upo muda na wakati sahihi wa kuinuliwa na Mungu. Samahani kama ulipiga practical ya data analyst naomba msaada wa maswali yakeMimi ni miongoni wa tuliofanya interview za TCRA jana. Tumefeli sio kwa kutokujua bali tumefeli sababu ya poor organization na arrangements. Zile computer hazijawa configured vzr, password za kuingia kwenye database server hazipo sawa, unajikuta unatumia muda mrefu kufanya configurations, muda unaisha hata swali hujamaliza. Nashauri turudie pepa lakini computers ziwe well configured kusiwe na mazingira magumu.
Mkuu, Hizi ajira za PSRS ni bahati nasibu. Usikate tamaa mapema.Nimeamua kwa akili yangu timamu kuachana na ajira za utumishi. Bora nikomae na private sectors.
Naona wamejiundia mrija wao,kwa sasa NAOT wametoka kwenye TGS ni SAIS,nini kirefu chake?Kuna nafasi 28 NAOT wenye sifa mshindwe wenyewe