Na unaweza kukuta yule unayempiga chabo akapata 0 afu ww ukajitahidi ukafeli kwa kupata 20 ๐๐๐๐๐๐๐aisee haya mambo yasikie kwa mwenzio tu yasikukutee,aloekodoa na aliekodolewa wote wamelipuka๐๐nyiee oh
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaEeh Mungu Asante PDF la leo na mimi nimo
Hongera sana mkuuEeh Mungu Asante PDF la leo na mimi nimo
Hongera mkuuEeh Mungu Asante PDF la leo na mimi nimo
Hongera sana Chief.Eeh Mungu Asante PDF la leo na mimi nimo
AsanteKwa experience yangu vyuoni ni kuandika sio kwenye mfumo
ni nzuri sana hiyo post hao jamaa wanafiti,imebidi nichungulie content ya programme kwenye tovuti ya IFM,nikakubali kwamba wanastahilit,Uzuri ni kwamba bado haijasambaa vyuo vingi mpaka sasa kama ilivyo accountancy na zinginezoBasi ni unyama sana huo, itakuwa rahisi kutekeleza majukumu yao
Hahahahaha mkuu pole sana na hongera kwa hatua hii bila shaka umejifunza kitu kila hatua ni muhimu kwenye maisha!Nlikandwa kaka na kihereheere changu kujifanya mtelecomunist๐๐wacha nisubir zinazonihusu asee
Utumishi wakishakukanda lazima ukate tamaa kwanza aiseee mpaka watokee washauriKuna jamaa humu alifanya maamuzi kama wewe baada ya kukandwa, watu walimpa moyo akaomba tena akalamba asali
Hongera sana Mungu ni mwema sanaEeh Mungu Asante PDF la leo na mimi nimo
๐๐ Hongera mkuu, popote kambiAsante Sana utumishi mmetoa jina langu japo sio sehemu niliyotaka.Nitajifunza kupazoea.
Hongera mkuuAsante Sana utumishi mmetoa jina langu japo sio sehemu niliyotaka.Nitajifunza kupazoea.
Asante.Hongera mkuu
Asante[emoji23][emoji23] Hongera mkuu, popote kambi
Nshakandwa vya kutosha sikukoma ad nikafikia hatua ya kwenda oral๐,na siwezi kukoma Shenzi adi niwakandekandeHahahahaha mkuu pole sana na hongera kwa hatua hii bila shaka umejifunza kitu kila hatua ni muhimu kwenye maisha!
Utumishi wanajua kukanda ukiwa ujakutana nao uwezi elewa aiseeโฆ.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaAsante Sana utumishi mmetoa jina langu japo sio sehemu niliyotaka.Nitajifunza kupazoea.
Good! ๐ฏ One day yes.Nshakandwa vya kutosha sikukoma ad nikafikia hatua ya kwenda oral๐,na siwezi kukoma Shenzi adi niwakandekande