Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu naomba kuuliza mimi nina GPA ambayo siwez omba tutorial assistant lkn pale kwenye kuomba ilikubali nikaandika tu barua na kwenye interview nimeitwa niende au nisiende wakuu.
Huo usaili mnafanya lini? Na ni tutorial assistance wa chua gani mkuu?
 
Wakuu naomba kuuliza, Hivi kama nimetoboa oral na jina lipo kwa Database ila kila hakuna dalili ya kupangiwa kazi miezi sita sasa, na wakati huo huo nimepata kazi private sectors ambayo niki sign contract hakuna kuondoka mpaka contract iishe, hapo mnanishauri niende private au nisikilizie utumishi?
 
Hilo jina kwenye database uliliona??? saini huo mkataba haraka ufanye kazi utimize baadhi ya ndoto zako, maisha hayasimami kanyaga kubwa kubwa, hakuna mkataba usio vunjwa especially hivi vimkataba vya kazi. Bravo πŸ‘Š
 
Mzee em sign mkataba huo kesho asubuhi kabla ya saa mbili.
Kwenye akili yako PDF ya kuitwa kazini ikitoka na ww haupo bc hesabu kuwa umefeli hvy songa na mambo mengine, mambo ya database muachie Mungu.
 
sasa umejuaje kama upo database
 
Huo mkataba wa Ajabu hamna mkataba wa hivyo.
Na umejuaje upo Database tupe mbinu!!
 
Nilifanya manuva na IT mmoja kule akanichekia mkuu.
Mhh mfanyakazi wa kawaida hana access ya kuingia kwenye data base wamekudanganya afu data base ya watu hadi ya mwezi wa nane wametoa
Hahahaha Ezekiel mbaga acha uoga tulia usije kutapeliwa.
Fact mkuu huu uongo ni kiwango cha rami.
 
Wakuu nan ashawai fanya online aptitude test za private sectors ni vitu gani vya kuzingatia nimepewa masaa 48 wakuu kabla sijafungua link
 
Tunaitwa subaru boys, mwakani tunafestival yetuπŸ˜‚πŸ˜‚
Hongereni mliodumbukia kwenye Asali og!! Hapo kama hauna mambo mengi ni ndani ya mwaka una viwanja viwili maeneo ya town na ndinga yako ya kupigia misele
 
Wewe Nend
Wewe nenda tuu kitaeleweka huko huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…