Wakuu,
Naomba ushauri, nna usaili wa assistant producer ya TBC, sasa h kazi inataka mtu anayeweza kuongea na kusoma vzr mana kazi mojawapo ni kusoma taarifa ya habari pamoja na mambo yote mnayojua ya kuongea kwenye vyombo vya habari.
H kazi ipo ndani ya qualifications zangu.
Sasa tatizo langu n kwamba nna kigugumizi kiasi kwamba hata kwenye kusoma hua nasitasita japokuwa sio kigugumizi kikali ila nikiwa nazungumza unajua kabisa nna kigugumizi.
Binafsi nataka kwenda ila kila nikifikiria hicho kigugumizi afu nafasi ni moja yn mpaka nahisi kukata tamaa.
Wakuu, naombeni ushauri wa kunitengeneza kiakili.
Pia wakuu, nauliza, Mfano umepata kazi maybe hy ambayo naona sitoiweza je naweza nikafika huko kazini na kubadili na kuchagua ambayo hawajaitangaza ila naiweza?