Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hili buyu la Asali BOT wapambanaji kazi kwenu.

Zingatia angalau Upper second class kwenye GPA
Pia wazingatie anwani ya mwajiri sio psrs ni bot mwenyew kama ilivyoandikwa kwenye tangazo
 
Hii mentality kwamba mtu mwenye GPA kubwa basi ndio atakuwa na uwezo mzuri wa kutekeleza majukumu ya kazi sijui itaisha lini maana hapa wana kosa watu bora pia hata bila ya hizo GPA zao wanazo amini, GPA na utendaji kazi wa mtu ni vitu viwili tofauti jamaa wana paswa kubadilika kwakweli.
 
Hiyo ni selection criteria,,kwani ambao Wana 3.5+ hakuna wachapakazi
 
Wewe utakuwa una gentleman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…