Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hili buyu la Asali BOT wapambanaji kazi kwenu.

Zingatia angalau Upper second class kwenye GPA
Pia wazingatie anwani ya mwajiri sio psrs ni bot mwenyew kama ilivyoandikwa kwenye tangazo
 
Sio lazma kweny kushortlist tu mkuu ukipenya ukiitwa kweny interview watakagua GPA kama wanavyofanya kweny Tutorial lakini pia ukipata kazi pia bado watakagua Gpa tena.
Cha Muhimu hapo kama huna hiyo 3.5 yao ukae pembeni tu usije ukaharibu Muda na Nauli.
Ova
Hii mentality kwamba mtu mwenye GPA kubwa basi ndio atakuwa na uwezo mzuri wa kutekeleza majukumu ya kazi sijui itaisha lini maana hapa wana kosa watu bora pia hata bila ya hizo GPA zao wanazo amini, GPA na utendaji kazi wa mtu ni vitu viwili tofauti jamaa wana paswa kubadilika kwakweli.
 
Hiyo ni selection criteria,,kwani ambao Wana 3.5+ hakuna wachapakazi
 
Hii mentality kwamba mtu mwenye GPA kubwa basi ndio atakuwa na uwezo mzuri wa kutekeleza majukumu ya kazi sijui itaisha lini maana hapa wana kosa watu bora pia hata bila ya hizo GPA zao wanazo amini, GPA na utendaji kazi wa mtu ni vitu viwili tofauti jamaa wana paswa kubadilika kwakweli.
Wewe utakuwa una gentleman
 
Back
Top Bottom