Th3the
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,327
- 1,779
Pia wazingatie anwani ya mwajiri sio psrs ni bot mwenyew kama ilivyoandikwa kwenye tangazoHili buyu la Asali BOT wapambanaji kazi kwenu.
Zingatia angalau Upper second class kwenye GPA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia wazingatie anwani ya mwajiri sio psrs ni bot mwenyew kama ilivyoandikwa kwenye tangazoHili buyu la Asali BOT wapambanaji kazi kwenu.
Zingatia angalau Upper second class kwenye GPA
Tuendelee kusugua lami mzeeJanuari to December wanachojua ni kutoa nafasi tu kuita watu kwenye interview aahaha received zinabaki zinawang'ong'a
Kusugua lami kupo palepale Januari to DecemberTuendelee kusugua lami mzee
Ila received zinachosha sana kuzichungulia.
Wanashambulia post za psrs kwenye comment ni wao tu😂Yan walimu japokuwa ni jeshi kubwa lakini kwa psrs wamekaa.
Hapo washindwe wenyewe kabisaPia wazingatie anwani ya mwajiri sio psrs ni bot mwenyew kama ilivyoandikwa kwenye tangazo
Hivi utofauti wa minimum and at least kwenye gpa niniHili buyu la Asali BOT wapambanaji kazi kwenu.
Zingatia angalau Upper second class kwenye GPA
Ni swala la nafasi mkuuPdf zimetoka uko yani ni mtu mmoja wakizidi watatu kweli jobless kazi ipo
Kama una chini ya upper second jaribu utakuja utupe majibuHivi utofauti wa minimum and at least kwenye gpa nini
Kwanini mbona inakubali nime apply Kwa watu wawili wako chini ya hiyoKama una chini ya upper second jaribu utakuja utupe majibu
Safi tulikua tunabishana mkuu kat ya minimum na at listKwanini mbona inakubali nime apply Kwa watu wawili wako chini ya hiyo
Kwanini mbona inakubali nime apply Kwa watu wawili wako chini ya hiyo
Sio lazma kweny kushortlist tu mkuu ukipenya ukiitwa kweny interview watakagua GPA kama wanavyofanya kweny Tutorial lakini pia ukipata kazi pia bado watakagua Gpa tena.Kwenye kushortlisted ndo wanaweza zingatia GPA.
Hii mentality kwamba mtu mwenye GPA kubwa basi ndio atakuwa na uwezo mzuri wa kutekeleza majukumu ya kazi sijui itaisha lini maana hapa wana kosa watu bora pia hata bila ya hizo GPA zao wanazo amini, GPA na utendaji kazi wa mtu ni vitu viwili tofauti jamaa wana paswa kubadilika kwakweli.Sio lazma kweny kushortlist tu mkuu ukipenya ukiitwa kweny interview watakagua GPA kama wanavyofanya kweny Tutorial lakini pia ukipata kazi pia bado watakagua Gpa tena.
Cha Muhimu hapo kama huna hiyo 3.5 yao ukae pembeni tu usije ukaharibu Muda na Nauli.
Ova
Hiyo ni selection criteria,,kwani ambao Wana 3.5+ hakuna wachapakaziHii mentality kwamba mtu mwenye GPA kubwa basi ndio atakuwa na uwezo mzuri wa kutekeleza majukumu ya kazi sijui itaisha lini maana hapa wana kosa watu bora pia hata bila ya hizo GPA zao wanazo amini, GPA na utendaji kazi wa mtu ni vitu viwili tofauti jamaa wana paswa kubadilika kwakweli.
Ni primitive selection criteria, kwa sasa watu wana angalia mtu kuonyesha unacho kijua au timiza majukumu ya kwenye kazi husika.Hiyo ni selection criteria,,kwani ambao Wana 3.5+ hakuna wachapakazi
Kwani hao hawajui kutimiza wajibu wao?Ni primitive selection criteria, kwa sasa watu wana angalia mtu kuonyesha unacho kijua au timiza majukumu ya kwenye kazi husika.
Wewe utakuwa una gentlemanHii mentality kwamba mtu mwenye GPA kubwa basi ndio atakuwa na uwezo mzuri wa kutekeleza majukumu ya kazi sijui itaisha lini maana hapa wana kosa watu bora pia hata bila ya hizo GPA zao wanazo amini, GPA na utendaji kazi wa mtu ni vitu viwili tofauti jamaa wana paswa kubadilika kwakweli.
Lazima tu criticise ili kuongeza kazi ya ufanisi na ubunifu daima hili taifa ni letu sote kulijenga kama watanzania.Wewe utakuwa una gentleman