ContentCreator
Senior Member
- Sep 2, 2020
- 151
- 231
UPDATE: Nilifanikiwa kuripoti kazini na kupokelewa kazini.Wakuu nilikuwa napitia pdf nikakuta kumbe jina langu limo kwenye pdf ya mwezi wa 7 yaani mwezi ushakata make nilikuwa na majukumu sikuwa napitia website ya utumishi. Vipi nikienda utumishi wanaweza kunipa barua na nikaripoti kazini au ndo nimepoteza ajira kabisa.
Na je mtu usipoenda kuchukua barua na ikatokea kazi my nyingine unaweza kuomba?
Ambaye asha-experience issue kama ya kwangu naomba anipe mwongozo.
Mungu ni mwema mkuuUPDATE: Nilifanikiwa kuripoti kazini na kupokelewa kazini.
Umepata NIT??Dah nashukuru Mungu nimelamba asali.
YeahUmepata NIT??
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaUPDATE: Nilifanikiwa kuripoti kazini na kupokelewa kazini.
Umepata kada ipiYeah
Mtego huuUmepata kada ipi
Mkuu upo NIT ya wapi π π π . Sema tu unataka kujua taarifa zake.Mtego gani mimi nipo NIT ndio maana namuuliza
Asante sana.Karibu sana NIT
Hii siwezi kusema mkuu. ππUmepata kada ipi
Mkuu upo NIT ya wapi π π π . Sema tu unataka kujua taarifa zake.
Taarifa zake zitanisaidia nini mimiMkuu upo NIT ya wapi π π π . Sema tu unataka kujua taarifa zake.
Sawa mkuu asante sana.Sawa mkuu karibu NIT ukihitaji msaada wowote karibu PM
Kaka umedumu huu uzi hongera kwa kiendelea kuwatia moyo vijanaHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Nipo ingawa kasi nimeipunguza sana.Kaka umedumu huu uzi hongera kwa kiendelea kuwatia moyo vijana
anaomba urudiwe tena πHapo anajuta kwann alikua anapiga kelele kua wanachelewa kuitwa kwenye interview...
Bora hivi ili mtu aendelee na harakati zingine, sio ile kusubirishana kwa muda kwenye zoazoa halafu ukaja kukuta haujapata nafasiWaalimu wanalambwa