Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu tunza hii post nasema ivi mwezi wa pili mwishoni majina yanatoka Kisha week ya kwanza ya mwezi wa tatu watu wanafanya saili Kisha mwezi wa tano, sita na Saba watu wanaingia kazini
Sure..
Kikubwa tujiandaeni wakianza kuzifungua zitakua ni mfukulizo mtu ukiwa umejiandaa vyema inakusaidia..
 
Sure..
Kikubwa tujiandaeni wakianza kuzifungua zitakua ni mfukulizo mtu ukiwa umejiandaa vyema inakusaidia..
Hawa Utumishi( PSRS) sio wakuamini 100% ....
Budget ya 2024/2025 Bungeni tena Naibu Waziri alizungumza mwaka huu Kitengo cha Account na Procument tunaajiri wengi sana ....Ukija ground huku tunaenda mwisho wa mwaka wa Budget nini kinaendelea kwa hawa watumishi wapya walio approve mbele ya Bunge hata 1% hazifiki ndo Ujue drama za hawa Utumishi(PSRS) zipoje..
Wanachoweza Wao ni Kuingiza Watoto wao kazini kwa kupitia waliojitolea kimyakimya maisha yanaenda ndo Taifa lilipofikia Sasa ........
Ila waliopambana kwa nguvu kutoka hatua written mpaka Oral unaambiwa unakaa mwaka mmoja database...
Haya Mateso wanayopitisha watoto tusio na connection ni Makubwa mno
 

😆😆 mkuu sio kila kinachozungumzwa bungeni kina enda into fruition. Hapo walaumu serikali, PSRS wao ni kupokea vibali na kutafuta talents basi.
 
Mkuu tuliza makasiriko fikiri kabla ya kuongea mkuu. Hao watoto kila mwaka wanao kwa ma elfu ya ajira nchini, watoto wao ni mainjinia wote, maafisa tawala wote, maafisa ustawi wa jamii, wamesomea kila kitu??

Jiandae vizur wenzio wanalamba asali kila kukicha bila kujitolea bila connection kwa 1st pdf toka afanye usail.
Kwanza umesomea nini na level ipi mkuu??
 
Kiongozi ngoja ninyamaze....kunasiku utaelewa kwnn nimeongea hivyo ...
Psrs ya mapambio na kusafisha mioyo ya vijana wenye vidonda ilikuwa 2022 kurudi nyuma na unaona lakani ya sasa 😪😪....
 
😆😆 mkuu sio kila kinachozungumzwa bungeni kina enda into fruition. Hapo walaumu serikali, PSRS wao ni kupokea vibali na kutafuta talents basi.
😀😀😀....Mnavyoona wabunge wanapiga kelele kipaumbele wanajitolea unazani polojo zile wanazoongea wakat wanatumwa....
 
Kiongozi ngoja ninyamaze....kunasiku utaelewa kwnn nimeongea hivyo ...
Psrs ya mapambio na kusafisha mioyo ya vijana wenye vidonda ilikuwa 2022 kurudi nyuma na unaona lakani ya sasa 😪😪....
Mkuu kwaio wanapita bila saili sio😂😂🤣
 
Usipo jiandaa vizuri kila siku utaona kama unaonewa
Ila waliongiza watoto wao kwa mpako wa kujitolea na wenye mkataba wamejaandaa vinzuri et kiongozi.....
PSRS ufanisi sasa hivi upo chini tena zaidi
 
😀😀😀....Mnavyoona wabunge wanapiga kelele kipaumbele wanajitolea unazani polojo zile wanazoongea wakat wanatumwa....

Maandalizi mazuri na bahati. Haya mkuu, endelea kujiandaa vizuri bahati yako ikifika utapata asali ya kutosha kwenye mtaasisi mzito. Uzuri nyie watu wa manunuzi mnafit kila kona. Unaweza kula kitengo TBS, TPA, TPDC, NSSF, TANESCO, TARURA, TAWA, TFS, WCF, EGA, na mazaga mengine mengi yenye asali ya kukata na mundu. See you at te top champ, acha makasiriko.​
 
😀😀😀😀😀.....🙏
 

Nakuelewa ndugu, tuombe mungu kwaninkila mtu ana njia yake ya kufika katika nchi ya ahadi, wao wenye izo connection watazitumia Mimi na ww wazee wa gombania goli tuendelee kupiga misuri Nina historia ya watu ambao awakua na connection ila sasahv wanakula asali ambayo hata ao wanaojifanya baba zao wazee wa connection awakuzipata mfano Kuna mtu namjua kabisa Hana connection na ninkapuku tu ila sasahv Yuko TCRA Tena sasahv wako training, tukaze ndugu yangu tutatoboa tuu..
 

Mkuu iv eGA Kuna asali eehe? Mishahara yao ikoje? Kama una dodoso lolote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…