Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

😀😀😀.....Mnatuambia tuache makasiriko Kiongozi....
Hilo swala sio geni kwa PSRS kama mfutiliaje wa mienendo yao ikifika mwisho wa mwaka wa budget.....
ndio,usifanye hasira chief,huu mchezo hauhitaji hasira, mimi nina received moja hiyo nilituma tarehe 28 mwezi wa 5,2024 naona iko vile vile mpaka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…