Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 475
- 1,318
Hongera Sana Allah akutangulie katika safari yako utumishi Kila la kheri ndugu yanguHabar, Alhamdulillah Mungu ni mwema nami jina langu Leo limetoka usaili wa oral nilifanya tareh 20.1.2024 Mungu ameniona Leo, Mungu awatangulie jaman msikate tamaa
Hongera Sana Kwa dogo Kila la kheri kwakeTips za watu wote kuhusu Oral ndizo nilizomuelekeza maana hakuwahi kufanya kabisa interview...pia hakutaka apply nafasi ikabidi nimuombee na kuelekezana possible za oral na jinsi ya kujibu maswali..
Nimefurahi sana sana ...nimeona inawezekana kabisa kupata nafasi sehemu za serikali kupitia psrs
Unasubiri ya taasisi gani ndugu?..Mkuu kama wametusahau kila pdf nikichek hola
Hongereni aisee.. wakati wa Mungu ni wakati sahihi.Aiseh wakuu ninafuraha isiyo ya kawaida... Nimeona jina la mdogo wangu ....furaha niliyokuwa nayo ni kubwa sana....
Ilifika kipindi naomba Mungu mimi nikose yeye apate.. leo Mungu amemfanyia miujiza ameona jina lake.
Tusikate tamaa wakuu.... Dogo alikuwa hana kazi wakike anashinda tu nyumbani kinamuda unaumia sana.....nimeomba sana kwaajili yake na Mungu amejibu Tena hata kabla yangu.
Hongera mkuu..Habar, Alhamdulillah Mungu ni mwema nami jina langu Leo limetoka usaili wa oral nilifanya tareh 20.1.2024 Mungu ameniona Leo, Mungu awatangulie jaman msikate tamaa
Hongera sana I can feel furaha yako...Mungu akawainue wote na mkawe na faida kwenye familia na taifa kwaujumla....Habar, Alhamdulillah Mungu ni mwema nami jina langu Leo limetoka usaili wa oral nilifanya tareh 20.1.2024 Mungu ameniona Leo, Mungu awatangulie jaman msikate tamaa
Mkuu wewe ni shujaa na Una moyo na upendo wakweli, nakuombea Kwa Mungu na wewe ukapate kazi, hongera Sana kwakeAiseh wakuu ninafuraha isiyo ya kawaida... Nimeona jina la mdogo wangu ....furaha niliyokuwa nayo ni kubwa sana....
Ilifika kipindi naomba Mungu mimi nikose yeye apate.. leo Mungu amemfanyia miujiza ameona jina lake.
Tusikate tamaa wakuu.... Dogo alikuwa hana kazi wakike anashinda tu nyumbani kinamuda unaumia sana.....nimeomba sana kwaajili yake na Mungu amejibu Tena hata kabla yangu.
Ni kweli aiseh....Mungu mwema sikuzote.....dogo Amelia kiasi kwamba nimejua watu tunabeba mengi moyoniHongereni aisee.. wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
Asante mkuu.... Na nitajitahidi sana namimi nilete ushuhuda hapa..... Kuna quote uliniquote kuhusu oral kwenye mwezi wa 11, ulinielekeza maandalizi yake Asante pia... So kilasiku nikawa naenda nyumbani baada ya kutoka kazini tunasoma pamoja almost week nzima....Mkuu wewe ni shujaa na Una moyo na upendo wakweli, nakuombea Kwa Mungu na wewe ukapate kazi, hongera Sana kwake
I feel her happiness..Ni kweli aiseh....Mungu mwema sikuzote.....dogo Amelia kiasi kwamba nimejua watu tunabeba mengi moyoni
Mkuu Amin.... Tuzidi kuapply na kuomba kibali... mwenyezi Mungu atafanya .......tukkapate nafasi na kufanyika baraka kwa wengineI feel her happiness..
Fikiria dogo alikua desperate to extent wewe ndio ukawa unamfanyia application..
Hapo analia kwa furaha kwa mkuu..
Na wewe Mungu akuinue pia.. inshallah!!
Hongera sana kwake.Aiseh wakuu ninafuraha isiyo ya kawaida... Nimeona jina la mdogo wangu ....furaha niliyokuwa nayo ni kubwa sana....
Ilifika kipindi naomba Mungu mimi nikose yeye apate.. leo Mungu amemfanyia miujiza ameona jina lake.
Tusikate tamaa wakuu.... Dogo alikuwa hana kazi wakike anashinda tu nyumbani kinamuda unaumia sana.....nimeomba sana kwaajili yake na Mungu amejibu Tena hata kabla yangu.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaHabar, Alhamdulillah Mungu ni mwema nami jina langu Leo limetoka usaili wa oral nilifanya tareh 20.1.2024 Mungu ameniona Leo, Mungu awatangulie jaman msikate tamaa
Shukrani mkuu....mbarikiwe wote huku ndani tips zenu kuanzia 2022 pale zimefanya apate....mbarikiweHongera sana kwake.
Kila la kheri, akawe mtimishi mwema
Hongera sanaHabar, Alhamdulillah Mungu ni mwema nami jina langu Leo limetoka usaili wa oral nilifanya tareh 20.1.2024 Mungu ameniona Leo, Mungu awatangulie jaman msikate tamaa
Hongera kwake na kwako .Aiseh wakuu ninafuraha isiyo ya kawaida... Nimeona jina la mdogo wangu ....furaha niliyokuwa nayo ni kubwa sana....