Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 475
- 1,318
Aiseh wakuu ninafuraha isiyo ya kawaida... Nimeona jina la mdogo wangu ....furaha niliyokuwa nayo ni kubwa sana....
Ilifika kipindi naomba Mungu mimi nikose yeye apate.. leo Mungu amemfanyia miujiza ameona jina lake.
Tusikate tamaa wakuu.... Dogo alikuwa hana kazi wakike anashinda tu nyumbani kinamuda unaumia sana.....nimeomba sana kwaajili yake na Mungu amejibu Tena hata kabla yangu.