Ndy kitendo cha kutuma Maombi Utumishi, Unaanza na kupitia zile part ngumu ngumu za Mahesabu kwa wale wa course zenye mahesabu ili iwe rahis siku wakitangaz written ww unapiga brush tu.mmh sasa kama miezi nane hakuna kitu ukisema uanze kusoma baada ya kuapply hapo si masters hiyo
mmmh hiyo energy wanayo waliotoka chuoni majuzi wengine akili zimeshaexpireNdy kitendo cha kutuma Maombi Utumishi, Unaanza na kupitia zile part ngumu ngumu za Mahesabu kwa wale wa course zenye mahesabu ili iwe rahis siku wakitangaz written ww unapiga brush tu.
Lasivyo Mikando itakuwa Mingi sana. Maan hawacheki na wowote.
Anza kurahisisha vitu kwa kupitia pitia vitu vigumu mapema kila unapopata timemmmh hiyo energy wanayo waliotoka chuoni majuzi wengine akili zimeshaexpire
Tumewaelewa malast born, hili nalo Mkenda na wenzako wa Utumishi mkalishughulikie.
Majina yako yana changamoto ? maana hizo document kwa wenye changamoto ya majinaAsante dear
Ah ah bora iwe ata PhD Mkuu maana kupata notification ya Not selected tena kwa capital later 🤣🤣🤣 sikia tuu kwa jirani yako lakini siombe ukutwe na bwana NOT SELECTEDmmh sasa kama miezi nane hakuna kitu ukisema uanze kusoma baada ya kuapply hapo si masters hiyo
Ah ah hili wakalitizame kakaTumewaelewa malast born, hili nalo Mkenda na wenzako wa Utumishi mkalishughulikie.
NdioHivi application ya TRA lazima birth certificate na transcript navyo viwe certified?
Hapa wewe ndo ulie koseana ni haki yako kuto kuwa shortlisted maana hukufata vigezo na masharti vilivyo ainishwa pale kwenye advatisement
hawakudisqualify ila watakushortlist kwa kada watakayotaka wenyewe hata kama sio core program uliyosomeaHapa wewe ndo ulie koseana ni haki yako kuto kuwa shortlisted maana hukufata vigezo na masharti vilivyo ainishwa pale kwenye advatisement
Kiufupi ni kwamba kila kazi huwa inavigezo vyake na masharti yake hiyo ya BOT ilimlazimu mtu ku apply kazi moja tuu ukizidisha zaidi ya moja una ji disqualifying wewe mwenyewee Hata kama zote utakuwa una fit vizur
Lakini hii ya TRA haina hayo maelekezo mtu anaweza kuomba kazi zaidi ya moja
Kwenye advertisement hakuna maelekezo ya hivo
Soma upya general conditions kipengele (g)
Afu ndo uje useme kati yako wewe na utumishi nan mwenye makosa…?!
So usipotoshe watu kwenye hizi ajira za TRA kama mtu anaona ana fit kazi hata 10 Apply tu hakuna shida wakuu🙏🙏❤️
Na wewe basi sasa interview itafanywaje ikiitwa siku moja na wewe utasoma soma vipi nafas zaid ya 2 ujiongezi sioHapa wewe ndo ulie koseana ni haki yako kuto kuwa shortlisted maana hukufata vigezo na masharti vilivyo ainishwa pale kwenye advatisement
Kiufupi ni kwamba kila kazi huwa inavigezo vyake na masharti yake hiyo ya BOT ilimlazimu mtu ku apply kazi moja tuu ukizidisha zaidi ya moja una ji disqualifying wewe mwenyewee Hata kama zote utakuwa una fit vizur
Lakini hii ya TRA haina hayo maelekezo mtu anaweza kuomba kazi zaidi ya moja
Kwenye advertisement hakuna maelekezo ya hivo
Soma upya general conditions kipengele (g)
Afu ndo uje useme kati yako wewe na utumishi nan mwenye makosa…?!
So usipotoshe watu kwenye hizi ajira za TRA kama mtu anaona ana fit kazi hata 10 Apply tu hakuna shida wakuu🙏🙏❤️
Hapo ni unachaguliwa post moja tuu kati ya ulizo ombaNa wewe basi sasa interview itafanywaje ikiitwa siku moja na wewe utasoma soma vipi nafas zaid ya 2 ujiongezi sio
mkuu ahsante nilimueleza hiki kitu na mimiHapa wewe ndo ulie koseana ni haki yako kuto kuwa shortlisted maana hukufata vigezo na masharti vilivyo ainishwa pale kwenye advatisement
Kiufupi ni kwamba kila kazi huwa inavigezo vyake na masharti yake hiyo ya BOT ilimlazimu mtu ku apply kazi moja tuu ukizidisha zaidi ya moja una ji disqualifying wewe mwenyewee Hata kama zote utakuwa una fit vizur
Lakini hii ya TRA haina hayo maelekezo mtu anaweza kuomba kazi zaidi ya moja
Kwenye advertisement hakuna maelekezo ya hivo
Soma upya general conditions kipengele (g)
Afu ndo uje useme kati yako wewe na utumishi nan mwenye makosa…?!
So usipotoshe watu kwenye hizi ajira za TRA kama mtu anaona ana fit kazi hata 10 Apply tu hakuna shida wakuu🙏🙏❤️
ndugu watu wanapiga tu wakipewa hiyo nafasi,kwa mfano kwa utumishi post nyingi tunapewa nafasi kufanya ata kama unazo mbiliNa wewe basi sasa interview itafanywaje ikiitwa siku moja na wewe utasoma soma vipi nafas zaid ya 2 ujiongezi sio
Ok sawa mkuundugu watu wanapiga tu wakipewa hiyo nafasi,kwa mfano kwa utumishi post nyingi tunapewa nafasi kufanya ata kama unazo mbili
labda TRA wao wakubanie kukupa pepa mbili siku hiyo ila tangazo halijakataza
Lkn sikuwa ni mimi mkuumkuu ahsante nilimueleza hiki kitu na mimi
Ndio kaka wakalitazameAh ah hili wakalitizame kaka
JamaA mpaka sasa ushafaulu mkuuAnza kurahisisha vitu kwa kupitia pitia vitu vigumu mapema kila unapopata time
Hiii nilikua najua ni mimi huwa inaniumaga aiseeAh ah bora iwe ata PhD Mkuu maana kupata notification ya Not selected tena kwa capital later 🤣🤣🤣 sikia tuu kwa jirani yako lakini siombe ukutwe na bwana NOT SELECTED