Al wata
Member
- May 11, 2023
- 15
- 22
Ndy kitendo cha kutuma Maombi Utumishi, Unaanza na kupitia zile part ngumu ngumu za Mahesabu kwa wale wa course zenye mahesabu ili iwe rahis siku wakitangaz written ww unapiga brush tu.mmh sasa kama miezi nane hakuna kitu ukisema uanze kusoma baada ya kuapply hapo si masters hiyo
Lasivyo Mikando itakuwa Mingi sana. Maan hawacheki na wowote.