Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

mmh sasa kama miezi nane hakuna kitu ukisema uanze kusoma baada ya kuapply hapo si masters hiyo
Ndy kitendo cha kutuma Maombi Utumishi, Unaanza na kupitia zile part ngumu ngumu za Mahesabu kwa wale wa course zenye mahesabu ili iwe rahis siku wakitangaz written ww unapiga brush tu.

Lasivyo Mikando itakuwa Mingi sana. Maan hawacheki na wowote.
 
mmmh hiyo energy wanayo waliotoka chuoni majuzi wengine akili zimeshaexpire
 
Hapa wewe ndo ulie koseana ni haki yako kuto kuwa shortlisted maana hukufata vigezo na masharti vilivyo ainishwa pale kwenye advatisement
Kiufupi ni kwamba kila kazi huwa inavigezo vyake na masharti yake hiyo ya BOT ilimlazimu mtu ku apply kazi moja tuu ukizidisha zaidi ya moja una ji disqualifying wewe mwenyewee Hata kama zote utakuwa una fit vizur

Lakini hii ya TRA haina hayo maelekezo mtu anaweza kuomba kazi zaidi ya moja
Kwenye advertisement hakuna maelekezo ya hivo
Soma upya general conditions kipengele (g)
Afu ndo uje useme kati yako wewe na utumishi nan mwenye makosa…?!

So usipotoshe watu kwenye hizi ajira za TRA kama mtu anaona ana fit kazi hata 10 Apply tu hakuna shida wakuu🙏🙏❤️
 
Attachments

  • IMG_1744.jpeg
    IMG_1744.jpeg
    632.5 KB · Views: 2

hawakudisqualify ila watakushortlist kwa kada watakayotaka wenyewe hata kama sio core program uliyosomea
 
Hapa wewe ndo ulie koseana ni haki yako kuto kuwa shortlisted maana hukufata vigezo na masharti vilivyo ainishwa pale kwenye advatisement
Kiufupi ni kwamba kila kazi huwa inavigezo vyake na masharti yake hiyo ya BOT ilimlazimu mtu ku apply kazi moja tuu ukizidisha zaidi ya moja una ji disqualifying wewe mwenyewee Hata kama zote utakuwa una fit vizur

Lakini hii ya TRA haina hayo maelekezo mtu anaweza kuomba kazi zaidi ya moja
Kwenye advertisement hakuna maelekezo ya hivo
Soma upya general conditions kipengele (g)
Afu ndo uje useme kati yako wewe na utumishi nan mwenye makosa…?!

So usipotoshe watu kwenye hizi ajira za TRA kama mtu anaona ana fit kazi hata 10 Apply tu hakuna shida wakuu🙏🙏❤️
Na wewe basi sasa interview itafanywaje ikiitwa siku moja na wewe utasoma soma vipi nafas zaid ya 2 ujiongezi sio
 
mkuu ahsante nilimueleza hiki kitu na mimi
 
Na wewe basi sasa interview itafanywaje ikiitwa siku moja na wewe utasoma soma vipi nafas zaid ya 2 ujiongezi sio
ndugu watu wanapiga tu wakipewa hiyo nafasi,kwa mfano kwa utumishi post nyingi tunapewa nafasi kufanya ata kama unazo mbili
labda TRA wao wakubanie kukupa pepa mbili siku hiyo ila tangazo halijakataza
 
Ah ah bora iwe ata PhD Mkuu maana kupata notification ya Not selected tena kwa capital later 🤣🤣🤣 sikia tuu kwa jirani yako lakini siombe ukutwe na bwana NOT SELECTED
Hiii nilikua najua ni mimi huwa inaniumaga aisee
 
Back
Top Bottom