Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkeka wa LGA na MDA umetoka na niliapply kwenye mkeka simo na kwenye account yangu ya ajira portal bado imeandika '' received', kwani siku hizi hawatoi sababu ya kuto-shortlist mtu?? Niliomba afisa hesabu II
 
MDa and LGA wamekuwa wakitoa majina kwa baadhi ya kada na kuwafanyisha usahili, kwenye mkeka huu afisa hesabu wenye CPA nadhan ndo walioitwa kwanza, endelea kuwa na subira kama umeitwa au lah lazima utaona mabadiliko kwenye akaunti yako
 
Utapata nafasi, upo tu kwenye foleni kama ulivyoona waliofanya Oral September wameanza kuchukuliwa.

Kuwa na subira, Muumba yupo nawe..
 
Utata Mtupu Utumishi...
Interview kuita nako shida inaenda Mwaka
Kutoa Database watu mtaani nako Shida
Mbona mnatupa wakati mgumu vijana wenu
Bado tu hamjaridhika kuingiza watoto wenu...
 
nafasi moja interview inachukua miezi nane watu wanasubirishwa lakini cha kushangaza nafasi za tpdc kipindi kile watu walilamba asali bila hata manundu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…