Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwenye qualifications requirements ya tangazo la kazi wameitaja Biomedical engineering??? Kama wameitaja basi relax mkuu hiyo ni changamoto yao ya kimfumo baada ya muda Huwa wanaiweka sawa.
 
Kwenye qualifications requirements ya tangazo la kazi wameitaja Biomedical engineering??? Kama wameitaja basi relax mkuu hiyo ni changamoto yao ya kimfumo baada ya muda Huwa wanaiweka sawa.
Ni hii mkuu.
 
Attachments

  • IMG_20250312_094037.jpg
    81.6 KB · Views: 1
Basi relax mkuu itakuwa ni changamoto yao ya kimfumo Kuna muda Huwa inakaa fresh jaribu mara kwa mara baada ya masaa kadhaa ikiwa bado watumie ujumbe kwa email wataitatua
Sawa mkuu. Nimewatumia email tangu jumapili ngoja niendelee kusubiri na kujaribu.
 
Sawa mkuu. Nimewatumia email tangu jumapili ngoja niendelee kusubiri na kujaribu.
Yah kama deadline bado bado sikilizia nilishawahi kumbana na hiyo changamoto niliwa email kesho yake ilikubali...kwahiyo inawezekan wenyew hawajagundua kama Kuna hiyo shida pia usiache kuwatafuta kwa simu mana inawezekan wanapokeaj email nying wakashindw ifikia kwa wakat Yako.
 
Kuna Pdf limeachiliwa huko la kuitwa kwenye usaili
 
Attachments

  • Screenshot_20250312-231149.png
    231.9 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…